Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 944
- 1,628
Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”???
Kwa hili nimechoka akili.
Kwa hili nimechoka akili.
Ndiyo. Kuna mimba zinaitwa “cryptic pregnancies”, hizi zinaweza kugundulika baadaye sana.Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”???
Kwa hili nimechoka akili.