Msaada: New baby names

Msaada: New baby names

La la la la la la la.Chunga sana usimuite Isabela,Daines,Robina,Diana,Lilian au majina yanayoanza na V(for ke),lasivo utalia maana atakuwa mgawa V mzuri.

Muongo mkubwa wee, umeifanya wapi hiyo V-research yako..:bored:
 
Afyusisye=boy

Nshangamwalugheshi=girl

Hapo vipi? Please acknowledge my choice
 
B,boy-Japhet,Jastin,Emmanuel,Jansen,Florence,Flavian,Ignas,Gidman.B,girl-Chezalina,Sarah,Osilida,Odilia,Lucy,Saidat(hili ni zuri sana japo ni la muslims),Jackline(wengi wao huwa ni beautiful ila,mhhhh!)
 
Kwa mwanamke
Mwatanga
Sikudhani
Siwajibu
Mtumwa
Siwatu.(my late aunt)

kwa wakiume

masumbuko
pendolake
 
Khakhi! (ke & me) that is the name for bright baby! (origin) Thailand! We say (si pang munang kal awang en batang hanan)
 
Natalia or Natasha for BG, and Sam or Bright for BB !!! Inategemea pia na majina ya baba jamani usije ukamwita mtoto Natalia Kongoligasheki hiyo haipo kabisa.. LOL !!!
 
Robin,harrison for bby gal,natalia,priscilla,gissell,valeria,brigita for a gal..ukishindwa kabisa google tu majina yatakuja mengi hadi utachoka kuchagua..hongera kwa uamuzi sio lazima mtoto apewe jina la bibi au babu.
 
Muiteni "SINAJINA"
Mmewezaje kumtafuta mshindwe kumtafutia jina?
 
Back
Top Bottom