Msaada: New baby names

Msaada: New baby names


ukimpa wewe kwani unahisi we utageuka kuwa mzazi wake,au sisi tutakuwa wazazi-less?

una umri gani mkuu...just for the sake of your comments?


nice search..
 
Massaburri- ponda, paramagamba, ndamayape, sikudhan, majuto, sikitiko, chawote, jini kabula, shida, tabu, sikudhani, havintishi, mateso, mawazo, matata, haambiliki, shikide, dushelele, mabangi, lukosi

what you articulate is what your brain posses
 
this is too much jamani? hata jina la kumuita mwanao hadi ufanye google search! kichwa chako kinaweza kuwaza nini sasa? chaaaaa!
mimi even tho bado nipo bikra ila majina ya watoto wangu ninayajua tayari!

Ya eneo gani?
 
Kama ni wakiume angalia majina yafuatayo
1. Masumbuko
2. Mateso
3. Majuto
 
watoto wa kwanza bwana ndio shida yake tutamkuta mpaka kwenye avatar kila kitu anafanyiwa sifa kama testa :smile-big:
 
Kuna webdites ukisechi baby names zipo na zina meaning ya majina na vyanzo vyao na kama ni ukiristo au sio etc.

Baby names then ingia tofauti utaona.

Good luck.
 
tehe...tete....tehe..... siku nyingine ya vituko!
tunaweza kujifunza kitu hapa pamoja nafuraha zetu, tunashauriwa kama inawezekana toavid kuwapa majina watoto wetu kwa watu waliokufa na hasa waliokuwa na matukio mabaya .
pia majina ya kukata tamaa kama shida, tabu ,chausiku, mateso, vumilia ,msichoke,ubaya,kijakazi na mengine mengine yanayofanana na hayo (japo sina maana ya kuwataja watu hapa) wakati mwingine huwa yanaenda na spirit zao na matokeo yake mtoto anaishi kwa shida siku zote japo sio wote lakini wengi wamekuwa wanakubwa na utumwa huu jaribu kuchunguza.
 
nadhan ni bora ungewaza mwenyewe na ndugu zako...hapa utatukanwa tu, japo wachache watakupa nafas ya kukujibu utakavyo.
 
Princeton...

Princessa....

PLEASE DON'T TAKE THEM, I WANA GIVE THEM TO MY KIDS....
 
B'boy - Clarence, Bryton, Luke, Carlos(Charles)

B'girl - Alcina, Isabel, Giver, Shanty

La la la la la la la.Chunga sana usimuite Isabela,Daines,Robina,Diana,Lilian au majina yanayoanza na V(for ke),lasivo utalia maana atakuwa mgawa V mzuri.
 
kama ni wa kiume mwite Mizengo au Kamuhanda akiwa wa kike muite Anna aka kiroboto
 
Back
Top Bottom