Trump: New Mexico should immediately change its name to New America

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,985
Reaction score
63,827
New Mexico should immediately change its name to New America. We are not Mexico, we are the United States of America!

The name would add great value and prestige to the State! Home Values and Incomes would rise, and you would be even prouder while saluting our beautiful American Flag!

Maybe even the Crooked Elections, that New Mexico is known for, would become honest again!

President DONALD J. TRUMP
 
Ana matatizo ya akili huyu.
Hicho ndio chuma kinachoikoa na kuirudisha heshima ya Marekani,

Biden angekuwepo hadi sasa wahamiaji bila vibali wangekuwa wamefika milion 50

Cartels za human trafficking zilichapisha sana pesa kipindi cha Biden, kuvusha kichwa kimoja ilkuwa dola elf 10 , wasio na pesa walipelekwa kuitafuta kwenye magenge ya kihalifu, wanawake na wasichana walipelekwa kwenye madanguro, n.k.
 
Hicho ndio chuma kinachoikoa na kuirudisha heshima ya Marekani,

Biden angekuwepo hadi sasa wahamiaji bila vibali wangekuwa wamefika milion 50

Cartels za human trafficking zilichapisha sana pesa kipindi cha Biden, kuvusha kichwa kimoja ilkuwa dola elf 10 na kama pesa haitoshi unapelekwa uitafute kwenye magenge ya kihalifu, madanguro, n.k.
Marekani umewahi kufika lakini, au unaisoma mitandaoni tu?
 
Huwezi kufika kila sehemu duniani, lakini kwenye maeneo yenye freedom of and after speech, dunia inakuwa kama kijiji. Thanks to Elon Musk kwa kuinunua Twitter, ambayo ilishaanza kufanana na Instagram kwa madai ya kuwepo kwa shinikizo la kufungia akaunti za baadhi ya wapinzani wa Democrats, akiwemo Trump. Ndiyo maana wengi wanaiona X ya leo kama jukwaa lenye nafasi kubwa zaidi ya uhuru wa kujieleza.

Biden alikuwa hawezi kabisa kuongoza nchi, alikuwa na matatizo ya akili, alimwita dada yake mke wake, alikuwa anasahau jiji alililofikia, alikuwa anasahau milango, alikuwa muoga wa press, n.k.

Cartels zilimfurahia sana Biden kwasababu alilegeza au kushirikiana nao, hakuna kichwa kilikuwa kinavuka bure Mexico nchi inayoendeshwa na magenge

View attachment 3693982
Siasa za Marekani huzijui, unabumbabumba kwa kuziangalia mtandaoni.

Sisi raia wa Marekani tunaopiga kura huku na kuziishi hizi siasa kila siku tunajua Trump anazuga watu kwa huu ujinga kwa kujua anaenda kuangukia pua mid term elections.

Do you even know what that is?

Hujui maumivu ya watu kuhusu the cost of living, kuhusu the price of gas. Hujui maumivu ya watu waliomchagua asiingize US kwenye vita, halafu akaenda kuii giza vitani Iran.

Huishi huku, unabumbabumba kurukia mambo ya siasa za watu mitandaoni tu.
 
Wewe ni Democrat na hicho ulichoandika ni Povu la Democrats ambao hadi sosa hawaja recover na ushindi mnono wa Trump

Chini ya Biden, mfumuko wa bei ulikuwa mkubwa sana hadi kufikia 9.1%, kiwango cha mfumuko wa bei kipindi hiki cha Trump kimepungua sana

Trump ameweka msisitizo mkubwa katika kuimarisha ulinzi wa mpaka wa Marekani, Takwimu za kukamatwa kwa watu wanaovuka mpaka wa kusini wa Marekani zimepungua sana tofauti na kipindi cha Biden aliporuusu wahamiaji zaidi ya Milioni 10 kuvuka na yeye wala hakuona shida, si jambo la ajabu alikuwa ana pewa mgao wake kwa kila kichwa kinachovuka

Uhalifu umepungua sana kipindi hiki cha Trump ikiwemo maeneo maarufu kama Washington

Sheria ya kodi iliyotiwa saini na Trump imeondoa makato ya kodi kwa mapato ya tips na sehemu fulani ya malipo ya overtime

Trump amekuwa akishinikiza hoja ya kulinda ushindani wa haki na usalama wa wanamichezo wa kike kwa kutojumuisha wanaume wanaobadili jinsia

Anashughulikia ufisadi hasa unaonendelea Minnesota kwa mbunge Mdemokrati Ilhan Omar ambae jimbo lake limekuwa na ufisadi kwenye day cares, matibabu, n.k Kwa sasa huyo Ilhan anashughulikwa na vyombo vya dola kwa huo ufisadi kwa orders za majaji wakiwemo wa Demcrat

Ajira zimeanza kurudi kwa Wamarekani, waliokuwa wana abuse h1b visas wamekalia kuti kavu
 
Logical non sequitur fallacy, falsw dichotony.

Kwako wewe mtu akimpinga Trump tu ni Democrat.

Hujui kuna Republicans na Independents wanampinga Trump.

Unatolea povu siasa za nchi ambayo hata hujafika, si raia wa nchi hiyo, si mpiga kura, siasa zake huziishi, huzijui.

Figisu zake huzijui, manipulation yake huijui.

Huyo mtu unayemtetea mbaguzi tu anakuona wewe nyani tu unatoka shithole country.

Trumo kaahidi kuimaliza hiyo inflation unayoisema ya Biden, lqkini kaifumua upya, tena kwa makusudi bika sababu ya muhimu kinyume na ahadi zake kwamba hataanzisha vita, kwa kuanzisha vita na Iran.

Mpaka wapiga kura wake waliompigia kura kwa kuwa atamaliza vita wanamshangaa.

Wewe huelewi kwa sababu hufuatikii kwa karibu unafuatikia kwa echo chambwrs za mitandaoni.

Subiri uchaguzi wa midterm uone, kama hata unaelewa midterm ni nini.

Kwa nini usifuatilie siasa za nchi yako unafuatilia siasa za nchi za watu, tena kwa ujuaji ambao huna?

Wewe unakubali unatoka shithole country?
 
Kiranga, unaniangusha, mkuu. Mambo ya dunia ya leo kiganjani tu; sio lazima uwe tz ndio ujue Lisu yupo ndani. Sio lazima ufike Rwanda kujua Kagame anawashughulikia wapinzani hata walio uhamishoni. Sio lazima ufike au uishi Russia ndio ujue drones za Ukraine ni changamoto. sana sana unatupa fursa ya ku-assume kuwa pengine mwenzetu huko unabeba box au somehow how, you were benefiting from the human trafficking industry, sio bure. Kama ambavyo wamarekani wanaweza ziongelea siasa zetu, we also have all due rights to comment on what we think.
 
Ndio tatizo la walugaluga kuwa na simu janja eti anataka kuniambia anajua siasa za UK kwa kusoma upupu wa mitandaoni kunishinda mimi ambae ninagongewa mlango na wawakilishi wa vyama siasa wakiniomba kura
Halafu anatoka mporipori mmoja yuko vijijini anaingia mitandao ya kijamii iliyojaa BOTS wa Russia na mamilioni ya akaunti zinasema eti wageni walowezi UK wanauliwa na kufukuzwa kuwa ameona kwenye tiktok na kuwa chama cha wazungu wabaguzi kinaenda kushinda uchaguzi, ukimuuliza umetoa wapi huu upupu, anajigamba kabisa eti mitandaoni
Kwa kweli ni vichekesho
 
Kiranga, unaniangusha, mkuu. Mambo ya dunia ya leo kiganjani tu; sio lazima uwe tz ndio ujue Lisu yupo ndani. Sio lazima ufike Rwanda kujua Kagame anawashughulikia wapinzani hata walio uhamishoni. Sio lazima ufike au uishi Russia ndio ujue drones za Ukraine ni changamoto. sana sana unatupa fursa ya ku-assume kuwa pengine mwenzetu huko unabeba box au somehow how, you were benefiting from the human trafficking industry, sio bure. Kama ambavyo wamarekani wanaweza ziongelea siasa zetu, we also have all due rights to comment on what we think.
Logical non sequitur fallacy.

Sijasema huyu hajui siasa za Marekani kwa sababu hajafika Marekani, nasema huyu hajui siasa za Marekani na hajafika Marekani.

Na anafanya siasa za ushabiki tu, hana itikadi, hana falsafa, si mkazi wa Marekani, si mpiga kura wa Marekani, hajui anaandika nini.

Ni mjinga anayemshabikia mtu anayedanganya mpaka waandishi wanashindwa kuhesabu uongo wake kama Donald Trump.
 
Back
Top Bottom