Msaada ndugu zanguni naomba kujua hii kitu!

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
4,097
8,279
Habari jukwaa la afya natumai mpo salama ndugu zanguni,
Naomba kufahamishwa hii kitu,

Jana bibie nikimaanisha Shemeji/wifi yenu kanipigia simu kanieleza anatatizo, anapata choo kikiwa na damu Sasa Leo kaenda kituo Cha afya kupima na matokeo ya vipimo, wanasema ni UTI sugu ambayo akichelewa kutibiwa itakula kizazi.

Mmmmh kwanza imenishtua Sana maana ana bima ila hawajampa dawa wamemwandikia tu Hizo dawa ambazo gharama yake ni Tsh 20,000.

Sasa hapa nipo njia panda ndio maana nimekuja humu kuuliza Hilo tatizo la kupata choo Cha damu na UTI vina uhusiano Gani
Wandugu.

Msaada wa ushauri tafadhari maana nahisi ni mwendelezo wa vituo vya afya makanjanja kubambikiza ugonjwa Kwa Watu Ili wapige Hela maana ishakua Kamchezo now.

Msaada tafadhari!
🙏🙏🙏
 
Pia angalie ulcers au vidonda vya tumbo uenda zimafikia hatua ya utra-ulcers lazima avitibu kwanza, zaidi hapo atafanyiwa upasuaji
 
Kama ni aja kubwa mchunguze uenda amesha anza michezo ya vijana wa mjini ya anarifuk
 
Kama ni aja kubwa mchunguze uenda amesha anza michezo ya vijana wa mjini ya anarifuk
hhahaaaha Aisee mkuu Kwa alivyo hawezi kamwe kufanya Hivyo ni ngumu Sana,sio Aina ya wale watoto mjini na katika ulimwengu wa Mapenzi nilianzisha njia mwenyewe maana Bado kinda Sana,labda hiyo michezo nimwanzishie mwenyewe kitu ambacho hakiwezekani hats Kwa bahati mbaya!
 
Mmenikumbusha nilivyoumwaga bawasili asee kale kaugonjwa Cha kifala Sana kwanza kamekaa eneo la hatari alafu maumivu yake sio poa Ila Sasa hivi me mkatili hata ikinirudia siitibu kwa vyovyote najikaza TU huwa inaisha yenyewe
daaa hatari Sana kanijulisha ya kwamba Jana kaenda haja kubwa imetoka kipande Cha nyama na Tatizo limepunguza maumivu now anaendelea vizuri niajua hii ni Bawasili tu,
Nashukuru Kwa kunifungua macho mkuu!
 
Wakati unaendelea kupata ushauri toka kwa wadau wengine,

Ushauri wangu, Asilizike na majibu toka kituo cha afya, Aende kwenye hospitali kubwa, aonane na daktari na atashauriwa vipimo zaidi vya kufanyiwa.
Asante Kwa ushauri Mwalimu!
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom