Ana Internal Haemorrhoids
Hizi huwa wengi wanazo ila hawajijui wanazo.
Cha msingi..... Kama ana uzito mkubwa ajaribu kupunguza , Anywe maji ya kutosha, ale Ndizi za kupikwa , Matunda kama parachichi, papai .
Kama anapata muwasho HAJA kubwa atafute Hydrocortisone Cream awe anajipakaa Mara moja kwa siku kwa siku saba.
na Kama anapata na maumivu makali, atafute Panado tu kwa siku tatu.
KIKUBWA HAKIKISHA VYAKULA, NA MAJI MENGI YA KUTOSHA MARA KWA MARA,MAZOEZI, ASIKAE MUDA MREFU
Kuhusu hiyo U.T.I yake Sugu mnunulie Tab. Azithromycin 500mg OD kwa siku 5. ( yaaan kidonge kimoja kimoja kila siku kwa siku tano ).
Kwa hapo, Mchukulie na Panado maana anapata maumivu ya mwili sababu ya UTI.