Duh namshauri akakomae aachane na SUA nenda huko mzumbe m2 aliyekamua sayansi unakomaa sehemu yoyote ile mwana hapo utatoka tuu.achana na kilimo kwanza.

Eti waungwana,kuna dogo huku kitaa kapata chuo Mzumbe bt coz haielew elewi,ye alisoma pCB na matokeo yake ni dv 1 pts 9,anaulza ka anaweza kuhama chuo to Sua kupiga veterinary medicine?

mwaka jana kuna mshkaj wangu alikuwa anataka Mipango akapangiwa Ustawi Jamii hapa dar, alifanya mishe akapata Mipango, japo mkopo ulichelewa ila alipata. Veternary medicine ipo fresh mi nilisoma sua.

na hzo mishe znapigiwa tcu au chuo husika?