Msaada: Nawezaje kutoa ufafanunuzi wa taratibu za bandari kwenye kufatilia bidhaa kwa urahisi?

Mr Surplus Economy

Senior Member
Mar 19, 2018
173
161
Wakubwa habari za mida hii.... Sasa iko hivi kuna Kampuni moja hivi ya huko ughaibuni niliapply kwa kazi ya kuwa agent wao nchini tz

Sasa wamenipa task ya kufatilia vitu vifuatavyo hapo chini. Shida yangu kubwa ni kwenye kuhusu custom duties/regulations hapo ndio sielewi yaani bila shaka wanahitaji kufahamu taratibu za Bandarini kuhusu bidhaa si ndio.

Sasa kwa hapo niwaelezeje ndugu zangu hebu fanyeni msaada tutani hapo natanguliza shukurani ndugu zanguni.

Screenshot_20231020-122530_WhatsApp.jpg
 
Halafu kingine cha nyongeza, usiwe unajibu kienyeji enyeji hivyo kama unachat na msela wako. Jibu kama mtu mwenye nidhamu na uhitaji wa kazi sio unajibu jibu kama vile wewe ndio bosi.
Ushauri mzur, maana wale wenzetu huwa wanakusoma mpm ht ktk communications zako za kawaida tu, so ukichukulia simple simple utaangukia pua
 
Mbona kama unapangwa? Hapo wanakusubiri uwatajie hiyo "High in Demand Product" na bei yale kwa whole sale na retail, kisha waone wanakupigaje...

Ili usipigwe, hakikisha hutumi pesa yako no maraa waah....
 
Wakubwa habari za mida hii.... Sasa iko hivi kuna Kampuni moja hivi ya huko ughaibuni niliapply kwa kazi ya kuwa agent wao nchini tz....
Umenikumbusha Mbali mkuu

Nakumbuka mara ya kwanza napigiwa simu na mzungu nilikua na presha balaa kbl ya yeye kunipigia takriban week nzm nlikua naisubir hyo simu kwa stress na uoga wa namna ya kuzungumza nae lugha ile adimu
 
Umenikumbusha Mbali mkuu

Nakumbuka mara ya kwanza napigiwa simu na mzungu nilikua na presha balaa kbl ya yeye kunipigia takriban week nzm nlikua naisubir hyo simu kwa stress na uoga wa namna ya kuzungumza nae lugha ile adimu
Hawa ni waindia mkuu ila pia kingereza chao si kibaya sana nilikua namuelewa kwa tabu sana huyu manager asee but ndio hivo concept ndio kitu cha msingi vingine huwa ni minner issue tu
 
Nimekupata mkuu. Any idea kama unayo kuhusu custom apo?

Yaani hapo inabidi uwe umejua ni product ipi unayotaka kuifanyia kazi. Kisha ukishaijua ndio utaweza kufuatilia taratibu za hiyo product kuingia nchini. Utaratibu upoje?

Kwanza ni bidhaa inayoruhusiwa na nchi yako?

Je gharama za ku import hiyo bidhaa zipoje?

Je ni nini kingine kingine kinahitajika kufanikisha uingizwaji wa hiyo bidhaa? Nk
 
Yaani hapo inabidi uwe umejua ni product ipi unayotaka kuifanyia kazi. Kisha ukishaijua ndio utaweza kufuatilia taratibu za hiyo product kuingia nchini. Utaratibu upoje...
Ok nashkuru mkuu kifupi nimeamua kudeal na Tiles na iron rebar (nondo)

Hapa kumbe kuna task kubwa inatakiwa niifanye nashkuru kwa hizi hints
 
Back
Top Bottom