Msaada: Nawezaje kupiga bao la kwanza baada ya nusu saa

Msaada: Nawezaje kupiga bao la kwanza baada ya nusu saa

Fanya mazoez ya kunywa maji Kwa wingi sanaaa
 
Nimechoka kudhalilika na hivi vidakika viwili vitatu. Isitoshe nilipo joto ni kali sana kurudia inakuwa tabu sana sasa ni bora tu mtu upige shoo ya dakika 40 (iwe kama two in one) Ili msichoshane tena na joto hili.

Msaada tafadhali, leteni mbinu hizo wadau!
Usitegemee kupiga bao dakika zaidi ya tano kwa mwanamke unayempenda na unayemuona mzuri kuliko wengine. Si jambo rahisi ila humu tumewahi weka mbinu kadhaa miaka kama minne iliyopita ukitafuta utapata mbinu. Learn kupiga two in one mwamba akiendelea kuwa wima na strong utaenda more than 25 minutes to 40 and you both will be satisfied.

Ila kwenda 60 minutes kwa bao la kwanza huo ni ugonjwa itakubidi uwaone madaktari and you will need extra energy otherwise utaichukia game. Raha ya mechi bao mkuu na tunachelewa kumwaga kwa wanawake ambao hatuna feeling nao.
 
Usitegemee kupiga bao dakika zaidi ya tank kwa mwanamke unayempenda na unayemuona mzuri kuliko wengine. Si jambo rahisi ila humu tumewahi weka mbinu kadhaa miaka kama minne iliyopita ukutafuta utapata mbinu. Learn kupiga two in one mwamba akiendelea kuwa wima na strong utaenda more than 25 minutes to 40 and you both will be satisfied.

Ila kwenda 60 minutes kwa bao la kwanza huo ni ugonjwa itakubidi uwaone madaktari and you will need extra energy otherwise utaichukia game. Raha ya mechi bei mkuu na tunachelewa kumwaga kwa wanawake ambao hatuna feeling nao.
Mkuu hizo mbinu zipo kwenye uzi upi tupitie
 
Nimechoka kudhalilika na hivi vidakika viwili vitatu. Isitoshe nilipo joto ni kali sana kurudia inakuwa tabu sana sasa ni bora tu mtu upige shoo ya dakika 40 (iwe kama two in one) Ili msichoshane tena na joto hili.

Msaada tafadhali, leteni mbinu hizo wadau!
KULA SUPU YA KONOKONO (Snail soup)
 
Nimechoka kudhalilika na hivi vidakika viwili vitatu. Isitoshe nilipo joto ni kali sana kurudia inakuwa tabu sana sasa ni bora tu mtu upige shoo ya dakika 40 (iwe kama two in one) Ili msichoshane tena na joto hili.

Msaada tafadhali, leteni mbinu hizo wadau!
Kunywa K Vant kubwa lisaa limoja kabla ya game. ONYO: Baada ya game hautakumbuka chovhote.
 
Back
Top Bottom