Joto halihusiani chochote na kurudia. Mzee Bolo Yeung akitaka lake, hata ndani ya tanuri anarudia.
Unachokutana nacho ndio uhalisia wako. Jaribio lolote la kutafuta tiba ni kujiharibu kabisa.
Suluhisho ni dogo, kubaliana na hali yako na usijichukulie kama mgonjwa au una mapungufu.
Uzuri bao hata la sekunde moja linatosha kutungisha mimba. Pia utamu wa bao upo pale pale haijalishi limetoka baada ya lisaa au baada ya sekunde.
Kubwa na la muhimu kabisa, kitakwimu kina dada hawahesabu umekaa dakika ngapi kifuani kumaanisha umemlala.
Sekunde moja au dakika 100, kitakwimu ushamlala huyo.
Ingia zako ndani, piga tako zako tatu takatifu, mwaga kojo lako, nyanyuka kishujaa kifua mbele huku uking'uta kende, muulize 'baby ume enjoy' akikusonya au kukudanganya ka enjoy, hiyo shauri yake.