fagix
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 741
- 563
Wakuu humu ndani nakuja kuomba msaada mnisaidie
Account yangu ya bank niliunganisha na PayPal account sasa nakuta account yangu inakatwa hela ambazo sielewe ni ali-hack akaundi yangu na akaanza kuitumia kwenye malipo nilipo jua hilo nili log in na kublock pre approved payment zote
Sasa je nifanyeje hela zangu ziludi kwenye account yangu ya bank
Msaada plz