Sio vizuri ivooo unataka mtoa mada afe?Kati ya hao watoto wa 5 mmoja tuu ndio wa kwako. Wa mke wa kwanza. Hao wengine umesaidiwa, ukilala kwa bimkubwa bimdogo anatulizwa na mwingine, ukihamia kwa bimdogo, bimkubwa anaingiza kibenten.
Tena na vile uwezo wako chumbani umeanza kupungua sijui itakuwaje maana lazima upate BP
Ongeza mke mwingine wa tatu na ambaye siyo mwajiriwa serikalini ili akusaidie kupungaza hiyo hofu/stress baada ya hao wawili kushindwa kukusaidia.
Habari wadau
Kama mada inavyoeleza
Kwa kifupi, at this age 45+ nimeajiriwa sekta binafsi (kampuni ya mawasiliano), nina wake 2 (wote ni waajiriwa wa serikali) na watoto 5 (mdogo kabisa ana miaka 5). Maisha yanakwenda poa tu kwa hali ya kitanzania. Ninaishi kwangu, na nina nyumba nyingine 4 sehemu mbalimbali Tanzania
Changamoto niliyonayo ni hofu. Yaani hata sijui ninaogopa nini?! Lakini nimejawa ha hofu kiasi kwamba kuna time nakosa kabisa usingizi. Nimejaribu kusoma vitabu, makala, na majarida yanayoeleza fear, anxiety, and worries lakini naona sipati ufumbuzi.
Wakuu msaada nifanye nini? Nimeongea na wake zangu mmoja mmoja na wote kwa pamoja maana ilifikia time sifikii ule "uwezo wangu chumbani". Lakini sielewi aisee. I am real worried naweza pata pressure au sukari soon - Mungu aniepushie mabalaa haya
Nawasilisha
hiyo hofu unakuwa unawaza nini mkuu?Habari wadau

hiyo hofu unakuwa unawaza nini mkuu?
Mambo ni mengi sana kwao na muda ni mchache,kwahiyo mara nyingi wanajikuta ni watu wenye mashaka sana na kufilisika,ndio maana wengi unakuta wanajiingiza kwenye madawa ya usingizi au kutumia hata drugs ili waweze kuwa vizuri...Daah, mkuu umasikini ndo unaletaga kiholo, naamini kuwa na tusenti ni baraka, sasa inaletaje tena haya mahofu mashaka na wasiwasi?
Duh!pole sana mkuu,unajua nilikuwa nafikiria nipo mwenyewe kumbe tupo wengi,hapa wengi wanacomment kwa mzaha na kutokana na uwezo wao wa kufikiri...lakin haya mambo yapo,binfsi napitia sasa hiv hali kama yako,(tena yangu inaweza ikawa mbaya zaidi)afadhali wewe unamaisha hayo,(i have nothing) na napambana na hii hali,asikudanganye mtu kitu kikubwa ni ibada,jitahidi sana kufanya ibada kwa dini yako(kama mwslam swal sana na kama mkristo usisubiri jumapil kwa jumapil)...mimi kwa kufanya ibada kidogo naona nafuu