Msaada natokewa na vitu kama vishimo usoni

miss chuga

JF-Expert Member
Dec 25, 2019
303
651
Habari zenu wapendwa?

Naombeni ushauri wenu natokewa na vitu usoni vya duara vinakuwa kama vishimo nashindwa hata kuelezea yani vinakuwa Kama vikovu nashindwa kuelewa tatizo ni nini.

Mafuta natumia SONA FACE AND BODY CREAM angalieni kwenye shavu hapo vipo 3 na hapo kwenye paji la uso mtaviona yani vinataka kuwa Kama vishimo vya chunusi lakini siyo.

Mimi nashindwa kuelezea labda mkiviona mtaelewa vzuri sielewi chanzo ni mafuta ninayopaka au ni nini.​

Screenshot_20210222-114344_1613994355879_1614189007272.jpeg
 
Tatizo lako naweza kulitibu kwa kupitia Dawa za kissuna. Kama imani yako ipo ktk tiba ya aina hii. Nakukaribisha
 
Pole sana kwa kujihisi vibaya.

hilo mimo sidhani kama ni tatizo nafikili wengi huzariwa navyo hivyo na huja na kupotea hasa ukishaingia barehe au kuzaa

Je, wewe vimekutokea hivi ukubwani au tangu zamani vipo hivyo
 
Pplole sana kwa kujihisi vibaya
hilo mimo sidhani kama ni tatizo nafikili wengi huzariwa navyo hivyo na huja na kupotea hasa ukishaingia barehe au kuzaa

Je wewe vimekutokea hivi ukubwani au tangu zamani vipo hivyo
Vimenitokea ukubwan
 
Mkuu pole sana ! Ila hii picha ifute, humu kuna wakuu walihamiaga kutokea Facebook, sio wastraabu ni wasumbufu sana, watakusumbua mpaka ujute!
 
Habari zenu wapendwa?

Naombeni ushauri wenu natokewa na vitu usoni vya duara vinakuwa kama vishimo nashindwa hata kuelezea yani vinakuwa Kama vikovu nashindwa kuelewa tatizo ni nini...
Kama hukuugua tetekuwanga udogoni laweza kuwa lenyewe au kama vinawasha sana inaweza kuwa mchafuko wa damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana ! Ila hii picha ifute, humu kuna wakuu walihamiaga kutokea Facebook, sio wastraabu ni wasumbufu sana, watakusumbua mpaka ujute!
Huo mdomo nimeutamani sana!!!!!
Duuhhh aiseee una Lips nzuri sana
Huyu Mwanamke , kwa uhakika kabisa,, atakua na K imejaa vzuri mnoo, mashavu ya K yamejaa , ina utelezi wakutosha saa 24 , joto ndo usiseme, alafu ni ndogo na fupi.

Ayayayayayaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu picha ya mabega Yako.. kama umezaliwa <86 inatakiwa uwe na chanjo ya Ndui.
 
Kuna kitu uliugua aidha utotoni au wakati unabalehe ulisombuliwa na chunusi. Nimeshawaona watu wenye vishimo kama hivyo ila tiba yake siijui
 
Back
Top Bottom