Msaada natokewa na vitu kama vishimo usoni

Siyo yang hii nmeweka tu kwa niaba yang watu waone hivyo vidude
Kama huyu ni ww nakushauri futa picha yako au weka katika muonekano wa kutotambulika usije kuta picha yako na caption dada ahamaki baada ya kudondoka na ungo. Watu wanatafuta views za page zao.
 
Habari zenu wapendwa?

Naombeni ushauri wenu natokewa na vitu usoni vya duara vinakuwa kama vishimo nashindwa hata kuelezea yani vinakuwa Kama vikovu nashindwa kuelewa tatizo ni nini.

Mafuta natumia SONA FACE AND BODY CREAM angalieni kwenye shavu hapo vipo 3 na hapo kwenye paji la uso mtaviona yani vinataka kuwa Kama vishimo vya chunusi lakini siyo.

Mimi nashindwa kuelezea labda mkiviona mtaelewa vzuri sielewi chanzo ni mafuta ninayopaka au ni nini.​

View attachment 1711188
njoo pm
 
Back
Top Bottom