Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,788
- 95,894
Eeeh.!! Hata passport huna? 😂😂😂Dah ngoja nmchek shangazi anitafutie passport
Eeeh.!! Hata passport huna? 😂😂😂Dah ngoja nmchek shangazi anitafutie passport
Nna kitambulisho cha kupiga kura tuu 😔Eeeh.!! Hata passport huna? 😂😂😂
Sasa unampigia nani kura?? 😂😂😂Nna kitambulisho cha kupiga kura tuu 😔
Ntakupgia ww uwe rais wa moyo wangu 😍😍Sasa unampigia nani kura?? 😂😂😂
😂😂😂😂 mfyuuuNtakupgia ww uwe rais wa moyo wangu 😍😍
What a move ! 😂 😂 😂 🙌🙌Ntakupgia ww uwe rais wa moyo wangu 😍😍
Kila la kheri ndugu,ila afya ni muhimu, Botswana inashika nafasi ya 3 duniani kwa UKIMWI....Habari za hapa wana jamii,
Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼
Nataka nikajaribu na hukoo anaejua hii nchi vizuri natakaiwa niandae nini na nn ili niishi vizuri hapo Bostwana na utaratibu upoje kwa mtanzania kuishi hapo.
Asanteni sana
mimi nimebobea katika diamond drilling upande wa exprolation huko vp migodi ipo mikubwaDereva sawa wa gari ndogo au ma lori elezea mkuu tukupe mbinu sie wastaafu wa kuzamia