Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
[emoji123][emoji123][emoji118][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lugha ya picha
[emoji123][emoji123][emoji118][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lugha ya picha
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji123][emoji123][emoji118]
Alikusudia ilete ujumbe wa Solfeggio arts, kumbe kapeleka maana sehemu nyingine kabisa, sijui anaelewa maana ya avatar yake?Avatar yako kuna kitu inamaanisha
Unataka afanane na nani kati ya hivi VIAZI . . ?Njoo sisiemu
Kamanda wangu asante sanaSOMA VITABU MBALIMBAKI JUU YA SOMO MOJA:
Hakikisha unasoma vitabu vingi juu ya topic moja.kwa mfano unataka kusoma kuhusu "life skills" (stadi za maisha) basi usiishie tu kuosoma kitabu kimoja kuhusu life skills,soma hata vitabu vitano na hata zaidi hii ni kwasababu kila mwandishi anaustadi wake wa uandishi na namna ya kuwasilisha wazo lake kwa jamii kwahiyo hii inakufanya upate mitazamo tofauti na kujifunza mbinu mbalimbali za kufikiri tofauti.
KULA VIZURI HASA HASA VYAKULA VINAVYOTOKA BAHARINI:wanasayansi wanaita "sea food" vyakula vya aina hii vyimethibishwa kuwa na virutubisho vinavyoufaa sana ubongo inashauriwa sana kwa watoto ili kuujenga ubongo kwa sababu wao bado wanakua na kujifunza vitu vingi,ila hata kwa watu wazima pia inasaidia.Bila ya kusahau vyakula vingine ila jitahidi kumaintain balanced diet.
FANYA MAMBO CHANYA:hii itakuepusha na stress kitu ambacho kwa mtu anayetaka kuwa great thinker sio kizuri kabisa,epuka majadiliano hasi ya aina yeyote ile,hakikisha unakuwa mtu muda wote.
SOMA SANA MAMBO YAKUFIKIRISHA:hii ni kwasababu ubongo ni msuli(muscle) kama misuli mingine na ili msuli ukue unahitaji mazoezi na mazoezi ya ubongo ni kufikiri,hivyo jitahidi ufanye sana haya mazoezi ili huo msuli uweze kukua,ndio maana watu huwa wanasema "piga msuli" akimaanisha kisoma kwahiyo jitahidi kusoma mambo fikirishi sana.
Anza kujizoesha kusoma makala ngumu ngumu na uzielewe,soma.makala na maandiko ya wanafalsafa wakuu kama kina plato etc,soma makala za akina eistein,tesla,newton,etc,soma theology,historia ya dunia,soma algebraic equations,solve analytical mathematics,hakika utakuwa GTView attachment 532128
View attachment 532127
Habari za wakati huu wana JF.
Ninatamani sana kuwa GT kama vile mkuu The bold The Boss mshana jr pamoja na Yericko Nyerere
Ni mbinu gani nitumie niwe the great thinker?
Naombeni msaada.
thanks kakaAnza kujizoesha kusoma makala ngumu ngumu na uzielewe,soma.makala na maandiko ya wanafalsafa wakuu kama kina plato etc,soma makala za akina eistein,tesla,newton,etc,soma theology,historia ya dunia,soma algebraic equations,solve analytical mathematics,hakika utakuwa GT
Je hivi vinapatikana online?anza na vitabu vifuatavyo
7 habits of highly effective people by stephen covey
the world is flat by friedman
art of war by sun Tzu
learning how to learn by Dr barbara oakley
vilibadilisha fikra zangu sana na kunifanya nibadilike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] malimao unataka akate kitambiFuata njia zifuatazo
1.kunywa sana malimao
2.mtongoze wema au jokate
3.penda kumufuatilia RC wa wanaume wa dar
4.penda kusikiliza maneno ya polepole Humphrey
5.kuwa firs replay kma joseverest
Ni hayo tu mkuu
Hicho cha art of war naweza kupata link ya kudowload mkuuanza na vitabu vifuatavyo
7 habits of highly effective people by stephen covey
the world is flat by friedman
art of war by sun Tzu
learning how to learn by Dr barbara oakley
vilibadilisha fikra zangu sana na kunifanya nibadilike