Msaada: Nataka kuwa the "GREAT THINKER". Nifanye nini?

Soma sana vitabu.
Aisee hii avatar yako ya NIMITZ imenikumbusha mbali sana. Hasa ziara yangu ya western europe baada ya kuwa nimesoma kitabu kiitwacho A WAR TO BE WORN. FIGHTING THE SECOND W.W.
(nilienda nacho wafaransa wakakiiba).
 
baada ya kusoma vitabu vingi pia usiwe msema ovyo ama mropokaji uwe unaongea Yale tu unauhakika nayo na iwe kwa uchache lakn yana maana kubwa sasa na wakati ujao
 
Sasa hivyo vitabu vipo kiswahili maana wengine lughazimetutupa mkono
 
Jichanganye na watu wenye mitazamo positive....wanao ongea vitu vya maana itakusaidia pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom