Msaada: Nataka kutengeneza LAN

Msaada: Nataka kutengeneza LAN

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,554
Reaction score
5,680
Nina switch, router, UTP cable, na vifaa vyote nahitaji computer ziweze kuwasiliana aidha kushare data nk. Nini natakiwa nifanye ili computer zote ziwe katika work group moja?

Ni computer 24.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tayar umesha fanya cabling yaan kama tayar umesha bana cable na umesha zichomeka kwenye pc na hub yako au switch then kuna namna mbili kuna ya ku asign ip adress manul na auto kwa maana ya kwamba wewe una asign workgrup name then una share kwenye pc zingine workgroup hyo huku kwenye ip request unaweka kwenye auto ip DHCP lakini pc names unazipa majina tofauti kuanzia pc1 hadi 24 ila work group name inakuwa moja kwa pc zote dah ila maelezo marefu kidogo

Au una asign ip adres na subnetmask na dns nk kwa kila computer ila kwenye ip adress kila pc unabadilisha namba ya mwisho mfno 198.020.255.02 na yapili itakuwa 198.020.2555.02na kuendelea had pc zote 24 then una ping all kucheki kama zimeonekana kwenye saver

Sorry nimeeleza kwa kifup fupi vingine utajuongeza unapo endelea
 
Kama tayar umesha fanya cabling una asign ip adres na subnetmask na dns nk kwa kila computer ila kwenye ip adress kila pc unabadilisha namba ya mwisho mfno 198.020.255.02 na yapili itakuwa 198.020.2555.02na kuendelea had pc zote 24 then una ping all kucheki kama zimeonekana kwenye saver

Sorry nimeeleza kwa kifup fupi vingine utajuongeza unapo endelea

Swali la nyongeza;
Tayari nilishaunganishiwa LAN ofisini na computer zinatumia system flan, nafanyaje kuzifanya ziwasiliane. Namaanisha niweze kuview contents za computer moja nikiwa kwenye computer nyingine, ama kama hilo ni gumu basi angalau kuconnect printer nitakayoweza kuitumia kutoka computer yeyote iliyopo kwenye mfumo.
 
Kama unatumia windows, turn on network discovery kompyuta zote.

Hapo utaona public folders za kompyuta, kama utahitaji kuona folders inabidi uruhusu acccess ya kushare.

Kushare printer, fungua sehemu ya open network & internet settings.
Kwenye kompyuta iliyounganishwa na printa.

-> change advanced sharing settings.

Kwenye sehemu ya file and printer sharing, chagua hiyo option.

Kisha nenda sehemu ambayo inaonyesha printers and devices kwenye control panel.

Chagua printer unayotaka kushare, righ na ufungue printer property, kisha bonyeza sehemu sharing then utachagua option ya kushare.

Hapo printer itaonekana kwenye kompyuta zote.

Kwenye komputer nyingine right click printer kisha bonyeza connect.

Huwa natumia sana hii nikitaka ku-print document zilizo kwenye simu kwa kutumia wifi.
 
Katika izo PC zote unaifanyaje moja kua saver ?
Kama tayar umesha fanya cabling yaan kama tayar umesha bana cable na umesha zichomeka kwenye pc na hub yako au switch then kuna namna mbili kuna ya ku asign ip adress manul na auto kwa maana ya kwamba wewe una asign workgrup name then una share kwenye pc zingine workgroup hyo huku kwenye ip request unaweka kwenye auto ip DHCP lakini pc names unazipa majina tofauti kuanzia pc1 hadi 24 ila work group name inakuwa moja kwa pc zote dah ila maelezo marefu kidogo

Au una asign ip adres na subnetmask na dns nk kwa kila computer ila kwenye ip adress kila pc unabadilisha namba ya mwisho mfno 198.020.255.02 na yapili itakuwa 198.020.2555.02na kuendelea had pc zote 24 then una ping all kucheki kama zimeonekana kwenye saver

Sorry nimeeleza kwa kifup fupi vingine utajuongeza unapo endelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na iyo work group unaitengeneza VP na kama nataka kuadd printer nafanyaje?

Haya mambo nayakubali sana, naweza kujifunza wap kwa hapa dsm

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We kijana acha uvivu. IT haihitaji uvivu wa kiwango hiki. Hapa hutoweza kuelewa. Kuna resources nyingi sana mtandaoni tena hadi kwa njia za video. Hebu zama youtube upate majibu ya maswali yako kwa vitendo.
 
Kuna kitu kinaitwa packet tracer mwenye elimu nacho anifafanulie

Sent using Jamii Forums mobile app

We kijana acha uvivu. IT haihitaji uvivu wa kiwango hiki. Hapa hutoweza kuelewa. Kuna resources nyingi sana mtandaoni tena hadi kwa njia za video. Hebu zama youtube upate majibu ya maswali yako kwa vitendo.
 
Ahsante kwa ushauri ila ungefuta ilo neno uvivu
We kijana acha uvivu. IT haihitaji uvivu wa kiwango hiki. Hapa hutoweza kuelewa. Kuna resources nyingi sana mtandaoni tena hadi kwa njia za video. Hebu zama youtube upate majibu ya maswali yako kwa vitendo.

Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
 
Katika izo PC zote unaifanyaje moja kua saver ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hakuna saver hapo basi waweza kuifanya pc moja wapo kiwa saver na hiyo ndio utaitunia ku ping zingine na hiyo ndio unaifanya iwe source of shared data kwa pc zingine ina ipa jina tu tofauti nz zingine hata ukipenda waweza iita saver
 
Back
Top Bottom