Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,611
Nina switch, router, UTP cable, na vifaa vyote nahitaji computer ziweze kuwasiliana aidha kushare data nk. Nini natakiwa nifanye ili computer zote ziwe katika work group moja?
Ni computer 24.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatakiwa ufanye configuration either kwa kutumia software inaitwa Cisco packet tracer..unainstall kwenye computer moja ambayo ita act as a server..
Unavyosema computer ziweze kuwasiliana una maana ya file sharing au computer ziweze kupata internet ?