Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
- Thread starter
-
- #121
umerogwa aisee. hakikisha hujiui. pole sana. ngoja niwaite akina Passion Lady na nduguye Lady doctor wakupe maushauri. mkuu wewe ndo Washawasha?. mia
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Mkuu patrickk,nipo serious,na kwa waelewa wamenishauri effectively.
Huko kwingine najaribu kumanage stress eti!
Ngoja niende Mambo ya Kikubwa,LOLZ!
Anayetaka kujiua sikuwahi kusikia anaomba msaada kwamba hasifanye hivyo. Kwani huko mtaani kwenu hakuna wa kukufanyia 'kanseling' au walau hata ndugu zako?
We nenda Mtwara tena front line, ukipona itakuwa bonas yako !
We nenda Mtwara tena front line, ukipona itakuwa bonas yako !
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Unaelewa matumizi ya Jf mkuu Osaka?
Ndugu na marafiki wana sehemu yao,na jamvi hili lina umuhimu mkubwa sana kwangu!
Kwa miaka niliyo kuwepo humu nimegain pengine kuliko kwa wanandugu.
Umeona eeh!Una mitusi arafu unataka kujiua Go on uone jinsi utavyopokelewa na makonzi huko ahela.
mi nilifikiri tayari tuandae mikekaUnachelewa, kujiua huhitaji consultation.
halafu mbele yake aongeze "Hell"Badili hili jina,jiite hata "sign in". Surround yourself with positive thoughts