Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
- Thread starter
-
- #101
Nalikemea roho ya mauti na itoke katika jina la Yesu Kristu aliyetufia msalabani. Fanya mafungo, omba Mungu kwa imani yako pia shirikisha wale watu wa Mungu ambao wataweza kukuombea kikamilifu. Kama alivyokushauri member hapo juu nami nakupa namba za watumishi wafuate watakusaidia sana nazo ni 0655940940, 0716469046, 0768261624, 0786381515, 0769940940 anaitwa Mtume Vale Bofu anapatikana maeneo ya Temeke ukishuka Pile Bar unaulizia kanisa lake ni hatua kama kumi toka barabarani. Hizi namba sina hakika kama zinatumika tena zote maana ni muda ninazo ila hakika ni lazima atapatikana na nyingine katika hizi wanatumia wachungaji wake. Pole sana. Na Mungu atakuponya.
Pole sana, naomba Mungu akunusuru katika mawazo hayo.
Juzi nilikuwa nimesumuliwa na ndugu yangu juu ya kijana huyu aliefariki kwa ugonjwa na alitaka kuishi sana as alijiona yeye bado mdogo kuiaga hii dunia.
Akaomba sana watu na kwenda kwenye tv kuongea kusaidia wanaotaka kujiua wasifanye hivyo. Jina lake ni Donal Walsh ukimsechi youtube kuna videos za yeye kuongea haswa April 2013 na amefariki mwezi huu. Sad
Please soma hii link
The wonderful and lasting legacy of brave Donal Walsh - Independent.ie
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Ahsante boss,si kama nipo selfish,hapana!
Ndio maana nafanya kila jitihada kuweza kuwa katika hali ya kawaida
usikae kae pekeyako,pia rudi kwenye matibabu,vipi una familia?i mean mke/mme na watoto?
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Ngoja wahehe waje watakushauri vizuri, maana wao ndiyo wataalamu wa mavituz haya.
usikae kae pekeyako,pia rudi kwenye matibabu,vipi una familia?i mean mke/mme na watoto?
kuna watu wamepagawa humu ndani na wana roho mbaya kupita mfano. mwanao au kaka yako akija anataka kujiua utamjibu km ulivyomjibu huyu jamaa? shame on you all na adhabu yenu wote leo usiku mjikojolee kitandani
back to topic...
mkuu Logout, shetani anataka ujiue uangamie. heri ulipo kuliko utakapoenda ukijiua. roho ya kutaka kujiua ina nguvu sana ila haishindi nguvu za Mungu. watafute watumishi wa Mungu kama ulivyoshauriwa hapo juu. Ongeza na namba hii...0754 546995/0656 900820. Piga kisha ujielezee vizuri utapata msaada.
najua utapona. tafadhali tujulishe unavyoendelea. kama jmosi hivi ni PM juu ya hatua ulizochukua na maendeleo yako.
yesu anakupenda.