Msaada nataka kufungua kampuni

Msaada nataka kufungua kampuni

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,182
Reaction score
1,596
Habari wakubwa naitwa steven ni kijana wa miaka 25 nipo Songea ni muhitimu wa fani ya welding and metal fabrication mwaka 2019 nia yangu natamani fungue na nisajiri kampuni yangu ya utengenezaji na uuzaji wa furniture za chuma hapa Songea.

Ila changamoto sijui wapi naanzia natamani nifahamu vigezo na masharti ya kumiliki kampuni pia gharama za usajiri na changamoto zake mtaji wangu ni mdgo ila nataman nifikie malengo yangu.

NAOMBA MSAADA KUPATA UFAFANUZI
 
habari wakubwa naitwa steven ni kijana wa miaka 25 nipo songea ni muhitimu wa fani ya welding and metal fabrication mwaka 2019 nia yangu natamani fungue na nisajiri kampuni yangu ya utengenezaji na uuzaji wa furniture za chuma hapa songea ila changamoto sijui wapi naanzia natamani nifahamu vigezo na masharti ya kumiliki kampuni pia gharama za usajiri na changamoto zake mtaji wangu ni mdgo ila nataman nifikie malengo yangu NAOMBA MSAADA KUPATA UFAFANUZI
 
Back
Top Bottom