Msaada wa mawazo na mafundi katika kampuni

syllae

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,794
1,910
Habari zenu wadau wa hili jukwaa.

Mimi ni kijana ambaye nahitaj msaada wa mawazo na ushirikiano pia kwa walio tayari katika hili.nimemaliza chuo mwaka 2018 (mechanical engineering) na kupata kuajiriwa katika kampuni tofauti tofauti ila kampuni iliyonipa uzoefu ambao ukanifanya na mimi kuvutiwa kuanza kufanya kazi zangu ni kweny ishu za HVAC (heat ventilation air condition.eg; ducts,kitchen hood fabrication and installation,ac installation).

Nikaanza kujikusanya taratibu na kununua baadhi ya mashine ndogondogo na kusajiri kampuni ambayo itakuwa inafanya kazi hizo na pia kazi za welding na glass & aluminium. Baada ya kukamilisha kila kitu nikafungua ofisi ambayo ndio sehemu ya kazi ila kuna changamoto chache ambazo ndo zimenifany nije hapa

1. Nahitaji kam kuna watu ambao ni mafundi kwenye kuchomelea na aluminium wapo tayari tufanye makubariano ya kazi kwani mashine na sehem ya kazi ipo (ni ubungo tanesco na upande wangu sina uzoefu katika izo ishu ila mashine ninazo).kwa hapa nahitaji wawe wanatumia ofisi yangu kufany kazi muda wote kwa makubariano tutakayofikia pindi wakiwa tayari.
2.wasaidizi katika kupata kazi za welding, aluminium na HVAC (eg :ac and ducts fabrication and installation. Na ndo sehem niliyo na uzoefu nao sana kwa kila kitu) kwan napata changamoto sana katika hili.nimeshawahi pata kazi kama tatu hivi na hizi zote ni kwa kutafutwa sasa siwez kukaa muda wote kusubiri kazi.nipo tayari kwa mtu ataenisaidia kupata kazi basi apate commission yake

Kwa iyo kwa mwenye mawazo na ushauri nianzie wapi au kipi nifanye ili nisonge mbele itakuwa vizur zaidi.na nipo tayari kwa mtu atakekuwa tayari kufanya kazi na mimi ili tupate kujikwamua.

NB: kampuni inaitwa ADF ENGINEERING COMPANY LIMITED na nimefany vitu vyote vya muhimu.
Asanteni
 
Kuwa na jina ni zaidi ya kuwa na kampuni. Kinachokunyanyasa saivi ni kushindwa kujenga jina wakati unafanya kazi na hizo kampuni tofauti.
 
Hatua uliyo jaribu kupiga ni kubwa sana kaka na ninakupongeza kwa hilo. Mimi pia ni fundi nipo workshop engineering najua fani ni tofauti lakini naweza nikakushauri kitu kama utapenda njoo DM tuyajenge
 
Kama sijakuelewa vizur kaka japo nahisi una kitu naweza pata kutoka kwako
 
Hatua uliyo jaribu kupiga ni kubwa sana kaka na ninakupongeza kwa hilo. Mimi pia ni fundi nipo workshop engineering najua fani ni tofauti lakini naweza nikakushauri kitu kama utapenda njoo DM tuyajenge
Nimekucheck pm check mkuu
 
Habari zenu wadau wa hili jukwaa.

Mimi ni kijana ambaye nahitaj msaada wa mawazo na ushirikiano pia kwa walio tayari katika hili.nimemaliza chuo mwaka 2018 (mechanical engineering) na kupata kuajiriwa katika kampuni tofauti tofauti ila kampuni iliyonipa uzoefu ambao ukanifanya na mimi kuvutiwa kuanza kufanya kazi zangu ni kweny ishu za HVAC (heat ventilation air condition.eg; ducts,kitchen hood fabrication and installation,ac installation).

Nikaanza kujikusanya taratibu na kununua baadhi ya mashine ndogondogo na kusajiri kampuni ambayo itakuwa inafanya kazi hizo na pia kazi za welding na glass & aluminium. Baada ya kukamilisha kila kitu nikafungua ofisi ambayo ndio sehemu ya kazi ila kuna changamoto chache ambazo ndo zimenifany nije hapa

1. Nahitaji kam kuna watu ambao ni mafundi kwenye kuchomelea na aluminium wapo tayari tufanye makubariano ya kazi kwani mashine na sehem ya kazi ipo (ni ubungo tanesco na upande wangu sina uzoefu katika izo ishu ila mashine ninazo).kwa hapa nahitaji wawe wanatumia ofisi yangu kufany kazi muda wote kwa makubariano tutakayofikia pindi wakiwa tayari.
2.wasaidizi katika kupata kazi za welding, aluminium na HVAC (eg :ac and ducts fabrication and installation. Na ndo sehem niliyo na uzoefu nao sana kwa kila kitu) kwan napata changamoto sana katika hili.nimeshawahi pata kazi kama tatu hivi na hizi zote ni kwa kutafutwa sasa siwez kukaa muda wote kusubiri kazi.nipo tayari kwa mtu ataenisaidia kupata kazi basi apate commission yake

Kwa iyo kwa mwenye mawazo na ushauri nianzie wapi au kipi nifanye ili nisonge mbele itakuwa vizur zaidi.na nipo tayari kwa mtu atakekuwa tayari kufanya kazi na mimi ili tupate kujikwamua.

NB: kampuni inaitwa ADF ENGINEERING COMPANY LIMITED na nimefany vitu vyote vya muhimu.
Asanteni
Mkuu shida yko in update Fundi ambaye ana mzunguko wa kazi ili ofisi iwe bize au cjui nimekuelewa vbya
 
Back
Top Bottom