Msaada natafuta silaha za jadi zilizoboreshwa.

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,028
2,000
Salam,

Kwa mazingira ninayoishi ninahitaji kuzilinda na kujihami kiaina... Binafsi siamini sana katika mabastola na mabunduki. Napenda na ni mtaalamu wa matumizi ya silaha za jadi. Mishale, mikuki etc. japo hizi za kienyeji sana hazina performance nzuri na hazishikiki vizuri.

Naomba Kama kuna mdau anayejua wapi nitapata pinde na mishale iliyoboreshwa Kama tunayoiona kwenye muvi... Nitashukuru sana.

Tafadhali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom