Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

Shaddai

Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
10
Reaction score
3
Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
 
Jitegemee ni private au ni ya serikali?
Je, ipo sehem gan?
Mana katoto kenyewe kakike so napenda sehemu karibu na Kimara au kupanda gar moja to school
 
Jitegemee ni private au ni ya serikali??
Je ipo sehem gan??
Mana katoto kenyewe kakike so napenda sehemu karibu na Kimara au kupanda gar moja to school
Hiyo shule unaenda kumpoteza mtoto siwezi shauri hili.
 
St Augustine Tagaste, Bethsaida girls, white lake, Babro Johansson,
 
Nahitaji ya Day wadau ambayo ipo Kimara au wilaya ya Ubungo
 
Back
Top Bottom