Habari wadau wa ujasiliamali. Mimi nina eneo hapa dsm ( Bunju ) lilikuwa shamba, sasa mzee kalipa katika30*30, shida yangu natafuta mtu ambaye atakayeingia mkataba kati yetu na sisi ajenge nyumba iwe apartment apangishe then tunahesabiana miaka kadha.... Je watu kama hawa nawapataje akwa yeyote anayejua msaadaaa