Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

Nina shida kama yako ndg, kama ulifanikiwa kumpata nisaidie na mie
Husika na kichwa cha habari.,
Mimi ndugu yenu nina matatizo ambayo hayahusiani na hospital (siumwi) ila ni masuala binafsi ya biashara zangu hivyo naomba anayejua mganga anayeweza kuninyooshea mambo fasta anipe maelekezo kwa Pm ntashukuru sana.!
Kama mjuavyo kumekuwa na matangazo mengi kwenye nguzo za umeme kuhusu waganga lakini kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua hao wengi huwa matapeli tu ila mganga original huwa hajitangazi.
Natumaini haya ni mambo ya kiimani zaidi na humu jukwaani lazima kuna wadau tupeane "mchongo"
Pia niwaombe radhi wale ambao wataingiza habari za dini humu kwani kama dini kila mtu ana dini yake na imani yake na ana uhuru wa kuabudu anachokiamini.!
Hivyo ukiona mada iko tofauti na imani yako pita kimya.!
Ntashukuru kwa mtakaojitahidi kunisaidia walau "direction"
 
Wabongo sijui mna tatizo gani, hakuna ishu za Waganga kufanikisha au kuatatua shida zako, shughuli yoyote ina kanuni zake na ukizifuata utafanikiwa.

Christiano Ronaldo anajituma na kufanya mazoezi kwa bidii ili kufanikiwa kwa anachofanya, hakuna Mtu baki wa kumfanya yeye awe bora.
 
Sio kila aneenda kwa mganga anatafuta utajiri wewe kibuyu.
 
Sasa unamfuata huyo mganga ili iweje wewe mtungi?

Labda kama ni Mganga tabibu anayeshauri bila kuhusisha yale mauzauza ya kitapeli, Watu kama Dr Mwaka, Ndodi na the likes wanaotoa ushauri wa tiba lishe n.k ila sasa sijui kama nao pia Mnawaita Waganga.
 
Kwa mazingira ya dar,itakuwa ngumu kwako kupata MTU ambaye yuko smart Bali utaambulia kupata matapeli tu. Njoo PM.
Mwamba share hii kitu PM tafadhari, location, au eneo mfano kijiji kata kitongoji etc.
 
Husika na kichwa cha habari.,
Mimi ndugu yenu nina matatizo ambayo hayahusiani na hospital (siumwi) ila ni masuala binafsi ya biashara zangu hivyo naomba anayejua mganga anayeweza kuninyooshea mambo fasta anipe maelekezo kwa Pm ntashukuru sana.!
Kama mjuavyo kumekuwa na matangazo mengi kwenye nguzo za umeme kuhusu waganga lakini kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua hao wengi huwa matapeli tu ila mganga original huwa hajitangazi.
Natumaini haya ni mambo ya kiimani zaidi na humu jukwaani lazima kuna wadau tupeane "mchongo"
Pia niwaombe radhi wale ambao wataingiza habari za dini humu kwani kama dini kila mtu ana dini yake na imani yake na ana uhuru wa kuabudu anachokiamini.!
Hivyo ukiona mada iko tofauti na imani yako pita kimya.!
Ntashukuru kwa mtakaojitahidi kunisaidia walau "direction"
ili iweje? usije ukauwa watu kisa ushauri wa hao matapeli. Narudia hao ni matapeli tu utafia jela ndugu
 
Husika na kichwa cha habari.,
Mimi ndugu yenu nina matatizo ambayo hayahusiani na hospital (siumwi) ila ni masuala binafsi ya biashara zangu hivyo naomba anayejua mganga anayeweza kuninyooshea mambo fasta anipe maelekezo kwa Pm ntashukuru sana.!
Kama mjuavyo kumekuwa na matangazo mengi kwenye nguzo za umeme kuhusu waganga lakini kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua hao wengi huwa matapeli tu ila mganga original huwa hajitangazi.
Natumaini haya ni mambo ya kiimani zaidi na humu jukwaani lazima kuna wadau tupeane "mchongo"
Pia niwaombe radhi wale ambao wataingiza habari za dini humu kwani kama dini kila mtu ana dini yake na imani yake na ana uhuru wa kuabudu anachokiamini.!
Hivyo ukiona mada iko tofauti na imani yako pita kimya.!
Ntashukuru kwa mtakaojitahidi kunisaidia walau "direction"
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama ww
 
Back
Top Bottom