sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
nani kahubiri zaidi ya kumpa option nyingine, afu achague mwenyewe.Wakati mwingine mue waelewa yeye hajaomba mahubiri kaomba msaada,,,kwani hajui kama kuna yesu? Msijitoe ufaham
unaweza ukawa unahitaji kitu fulani lakini mwingine akaja akakwambia hiki mi bora zaidi na ukatumia utashi wako kulinganisha na kufanya uchaguzi.