Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

Umeandaa sadaka gani? Mtoto wako wa kwanza wa kiume au wa kike? Kuna mganga huku anaweza kukusaidia ukimpatia mmojawapo wa hao watoto! WAJINGA NDIO WALIWAO!!
 
Mkuu Deepro una kifua cha kukabili mambo? Nenda MEATU sehemu anaitwa Mwandoya uliza kwa Ngw'ana Kingi utapona tatizo lako. Lakini uko tayari kuliwa tigo?
 
Dooh... sikuwahi kuwaza km bado nguvu za giza zina exit na kufuatwa nchini.....

Sa sijui yaliyopita yamesahaulika... au ndo kupagawa...

Nenda kapoteze pesa ila mi naamin mganga ni mwanasaikolojia mzuur sana... nenda akuchezeshe ubongo ...

Unaamin waganga hadi leo... duh
 
Kuna waganga wazuri kuhusu mambo ya biashara pale UDSM, nenda pale kitengo cha UDEC, watakufundisha vizuri kuanzia business plan na cashflow statement, utapata elimu kubwa na ya maana kuliko za kuchimbia mifupa ya albino, hirizi au kulala makaburini, kila heri..
Mkuu hapo umenena
Waganga wa biashara Ni wahasibu Na walio somea masoko.Hao wengine waigizaji
 
Husika na kichwa cha habari.,
Mimi ndugu yenu nina matatizo ambayo hayahusiani na hospital (siumwi) ila ni masuala binafsi ya biashara zangu hivyo naomba anayejua mganga anayeweza kuninyooshea mambo fasta anipe maelekezo kwa Pm ntashukuru sana.!
Kama mjuavyo kumekuwa na matangazo mengi kwenye nguzo za umeme kuhusu waganga lakini kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua hao wengi huwa matapeli tu ila mganga original huwa hajitangazi.
Natumaini haya ni mambo ya kiimani zaidi na humu jukwaani lazima kuna wadau tupeane "mchongo"
Pia niwaombe radhi wale ambao wataingiza habari za dini humu kwani kama dini kila mtu ana dini yake na imani yake na ana uhuru wa kuabudu anachokiamini.!
Hivyo ukiona mada iko tofauti na imani yako pita kimya.!
Ntashukuru kwa mtakaojitahidi kunisaidia walau "direction"

MAWAZO KAMA HAYA NDIYO YAMETURUDISHA WATANZANIA NYUMA. MAISHA NI SAFARI NDEFU, KUNA MAFANIKIO, NA KUKOSA, KUNA FURAHA NA MAJONZI, NDIVYO TULIVYOUMBWA. HAKUNA MGANGA YEYOTE ANA UWEZO WA KUFANYA BIASHARA YAKO IENDELEE ILA WEWE WEWE MWENYEWE. UTAPOTEZA PESA ZAKO BURE, PENGINE WATAKUFANYA UFANYE MAOVU YA KUAMINI VIUNGO VYA ZERUZERU VITAFANYA BIASHARA YAKO IFANIKIWE. HUO NI UWONGO. AMA SIVYO MUTAFUTE Gwajima naye atagudanganya. Good luck.
 
Dooh... sikuwahi kuwaza km bado nguvu za giza zina exit na kufuatwa nchini.....

Sa sijui yaliyopita yamesahaulika... au ndo kupagawa...

Nenda kapoteze pesa ila mi naamin mganga ni mwanasaikolojia mzuur sana... nenda akuchezeshe ubongo ...

Unaamin waganga hadi leo... duh
Acha unafiki
 
Back
Top Bottom