Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

Siwezi kupita kimya kwa sababu ninakupenda na sitaki uendelee kuamini katika GIZA. Kwanini umwamini shetani ambaye hatima yake ni moto wa milele yeye pamoja na wafuasi wake? Mungu anakupenda ndugu yangu ña anataka umfuate Yeye ili uwe na uhakika wa maisha haya na yale yaliyo ya baada ya haya yaani UZIMA WA MILELE. Njoo kwa Yesu akuweke huru! uondokane na utumwa wa ki- ibilisi.
Nnaijua dini pengine kuliko hata wewe.!
Sema hujui kilicho nyuma ya hayo makanisa unayoyaamini ila siku ukipata ufahamu utajua namaanisha nini..
We ungejua nilikotoka mpaka kufika hapa nilipo.!
Ngoja niishie hapo.
 
kwahiyo umeamua bora uhamie kwa waganga???? hata Yesu alisema kuna manabii wa uongo, ni vyema kuomba Roho mtakatifu akuonyeshe wapi ni sahihi. lakini kukimbilia kwa waganga ni kupotea kabisa.
 
kama wewe ni mkristo jenga tabia ya kutoa sadaka ya fungu la kumi kanisani (10% ya unachopata) na Mwenyezi Mungu atakufungulia milango ya Baraka katika maisha yako. Binafsi nimefanikiwa sana kwa kufuata utaratibu huu Bwana Yesu ni mwaminifu na hutimiza neno lake kikamilifu
Malaki 3: 7-12
7 Tokea siku za baba zenu mmegeuka upande, mkayaacha maagizo yangu, wala hamkuyashika. Nirudieni mimi, nami nitawarudia ninyi, asema Bwana wa majeshi. Lakini ninyi mwasema, Turudi kwa namna gani?

8 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.

9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

11 Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.

12 Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi.
 
Nnaijua dini pengine kuliko hata wewe.!
Sema hujui kilicho nyuma ya hayo makanisa unayoyaamini ila siku ukipata ufahamu utajua namaanisha nini..
We ungejua nilikotoka mpaka kufika hapa nilipo.!
Ngoja niishie hapo.
Unaweza ukaijua dini lakini si Mungu. Dini ni taratibu walizojianzishia wanadamu kujaribu kumtafuta Mungu.

Ungekuwa unamjua Mungu usingehangaika kuwatafuta waganga ambao kimsingi waganga wote wa kienyeji ni watumishi wa ibilisi. Mwisho wao wote ni moto wa milele.!
 
kwahiyo umeamua bora uhamie kwa waganga???? hata Yesu alisema kuna manabii wa uongo, ni vyema kuomba Roho mtakatifu akuonyeshe wapi ni sahihi. lakini kukimbilia kwa waganga ni kupotea kabisa.
Endelea kuwaamini hao manabii wako na kuwatajirisha ukiamini wapo ili kukuokoa.!
Then tuache na imani zetu.
Ulishajiuliza kuna dini ngapi duniani.?
Je wote hutumia biblia au quran.?
Je una vigezo vipi unavyotumia kuwaaminisha dunia nzima kuamini unachokiamini wewe.?
Pole kwa kuwa mtumwa wa mzungu na kudharau dini za asili yako.!
 
Siwezi kupita kimya kwa sababu ninakupenda na sitaki uendelee kuamini katika GIZA. Kwanini umwamini shetani ambaye hatima yake ni moto wa milele yeye pamoja na wafuasi wake? Mungu anakupenda ndugu yangu ña anataka umfuate Yeye ili uwe na uhakika wa maisha haya na yale yaliyo ya baada ya haya yaani UZIMA WA MILELE. Njoo kwa Yesu akuweke huru! uondokane na utumwa wa ki- ibilisi.
Kumpenda mtu usiyemjua ni unafiki.unasema eti kumjua yesu ndo kumefanya biashara yako ijae wateja,kwa muktadha huo basi kina bakhresa,mo na kina mengi wanamjua yesu zaidi kuliko wewe.siungi mkono ushirikina,na pia siungi mkono brainwashing mnayofanyiwa huko madhabahuni.
 
Endelea kuwaamini hao manabii wako na kuwatajirisha ukiamini wapo ili kukuokoa.!
Then tuache na imani zetu.
Ulishajiuliza kuna dini ngapi duniani.?
Je wote hutumia biblia au quran.?
Je una vigezo vipi unavyotumia kuwaaminisha dunia nzima kuamini unachokiamini wewe.?
Pole kwa kuwa mtumwa wa mzungu na kudharau dini za asili yako.!
Hao washazoea kutaperiwa na manabii wa uongo, ,,, mkuu kuna mzee mmoja wa kikojani ni noma, ,,,ngojea ntakutafutia namba yake,,,,,hana tamaa
 
Hakuna kitu kinaitwa kumjua Yesu huo ni utapeli of the other side of the coin. mleta thread endelea utafanikiwa tu bora imani .
Hapana shaka kuwa wewe ni mpinga Kristo(roho ya mpinga Kristo imo ndani yako). Na habari zako tunazo
 
Endelea kuwaamini hao manabii wako na kuwatajirisha ukiamini wapo ili kukuokoa.!
Then tuache na imani zetu.
Ulishajiuliza kuna dini ngapi duniani.?
Je wote hutumia biblia au quran.?
Je una vigezo vipi unavyotumia kuwaaminisha dunia nzima kuamini unachokiamini wewe.?
Pole kwa kuwa mtumwa wa mzungu na kudharau dini za asili yako.!
eti dini ya mzungu, kwani wazungu hawana waganga?????

aya bwana uchaguzi ni wako sikupangii bali nimekushauri.
 
Back
Top Bottom