Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

hujambo mjukuu wangu mimi ni babu yako mzee tafuna jakobo sichamba mganga wa kienyeji kutoka kisumba tangu nikupe ndagu ya utajili mjukuu wangu ukanunua magari ukajenga mjumba ya kifahari na magesiti umenisaau sana jootumalize tambiko malizisije kupotea

0742824543

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
someni dua zipo chungu nzima kwenye vitabu vya imani...dua sahihi ina nguvu mara 100 ya uganga na uchawi.. Tatizo hatuna kisomo cha dini..
 
someni dua zipo chungu nzima kwenye vitabu vya imani...dua sahihi ina nguvu mara 100 ya uganga na uchawi.. Tatizo hatuna kisomo cha dini..
VIP WEWE MWENYE DINI NA IMANI KALI , UNAMILIKI RANGE ROVER NGAPI,
 
Nnaijua dini pengine kuliko hata wewe.!
Sema hujui kilicho nyuma ya hayo makanisa unayoyaamini ila siku ukipata ufahamu utajua namaanisha nini..
We ungejua nilikotoka mpaka kufika hapa nilipo.!
Ngoja niishie hapo.
Unaijua dini, humjui Mungu,Mungu hana dini,Yesu Kristo ndio njia ya kumfikia
 
Pia niwaombe radhi wale ambao wataingiza habari za dini humu kwani kama dini kila mtu ana dini yake na imani yake na ana uhuru wa kuabudu anachokiamini.!

nimependa sana hapa maana bongo kuna watu wanaamini imani zinahusu dini za kiislam na kikristo tu
 
Husika na kichwa cha habari.,
Mimi ndugu yenu nina matatizo ambayo hayahusiani na hospital (siumwi) ila ni masuala binafsi ya biashara zangu hivyo naomba anayejua mganga anayeweza kuninyooshea mambo fasta anipe maelekezo kwa Pm ntashukuru sana.!
Kama mjuavyo kumekuwa na matangazo mengi kwenye nguzo za umeme kuhusu waganga lakini kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua hao wengi huwa matapeli tu ila mganga original huwa hajitangazi.
Natumaini haya ni mambo ya kiimani zaidi na humu jukwaani lazima kuna wadau tupeane "mchongo"
Pia niwaombe radhi wale ambao wataingiza habari za dini humu kwani kama dini kila mtu ana dini yake na imani yake na ana uhuru wa kuabudu anachokiamini.!
Hivyo ukiona mada iko tofauti na imani yako pita kimya.!
Ntashukuru kwa mtakaojitahidi kunisaidia walau "direction"
muombe mungu atakusaidia mambo hayo ya waganga ni shirk tu
 
Huyu jamaa nilipiga, loh ana maswali mengi sana, vip mkuu me nilitaka arekebishe bizness bhana.
anasema ulikua unamzingua unajifanya polisi huna shida ungekua serious angekusaidia
 
Back
Top Bottom