Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Aliyeanzisha uzi nina mashaka a akili yako kama ni timamu, kamwombe Mungu kabla ya kuja hapa kuandika mambo yako. Hufai kabisa. Ilo lina faida gani? Jiandikishe ukapige kura ya HAPANA.
 
Ukiona cv inafichwa ujue mbovu haifai.
 
Tupe CV ya Mtume Muhamedi tuione, maana tabia zake na za wafuasi wake ni kama .........ISIS

Huko kote ni kutapatapa!
Mtume Muhammed katokea wapi hapa.
Lete cv ya dkt wenu acha kutapa ndugu.
 
Huko kote ni kutapatapa!
Mtume Muhammed katokea wapi hapa.
Lete cv ya dkt wenu acha kutapa ndugu.
Sasa nani zaidi katia ya Muhamedi na Gwajima?

Mbona mnaogopa sana nyie viumbe wa Allah.

Leteni CV ya Mtume Muhamedi.
 

Uongo ni dhambi. Bora unyamaze.
 

Ufufuo anaouzungumzia Gwajima ni wa kiroho siyo wa kimwili.
 

Nenda kanisani kwake utapata CV ya kutosha
 
Tupe CV ya Mtume Muhamedi tuione, maana tabia zake na za wafuasi wake ni kama .........ISIS

Huyu lazima atakua Msukule aliyefufuriwa na Mch wake Gwajima......Yani always hua wapo off topic....Yani unaona ufahari kabisa kumtukana mtume Muhamad ambae hukuwai ata kumuona wala ata kumsoma kisa umefufuriwa .....Wewe nakuona kama msukule wa Gwajima
 


Huyu sidhani hata kama alisoma, ni msanii tu anayecheza na hisia za waumini wake. Si unawaona waumini wake walivyo, yaani wamekaa kimsukule sukule hivi. Kila wanacho amrishwa kufanya wao wanafanya tena bila hata kufikiri wakati akili wanazo. Nabii ni Yesu na Mtume Muhammad si hawa wa kidigitali.
 
Unapenda kusingizia watu eeehn. Hivi ombi langu imeshakuwa msiba kwenu?

Pole sana kijana.
 
Unajua mi naona wabongo tunapoteza muda mrefu sana kujadili watu wenye mafanikio yao kisha tunasahau ya kwetu tubadilike

Hakuna cha kupoteza muda...huyu tayari keshafanikiwa so tunaambiwa tujifunze kupitia waliofanikiwa...ila huyu jamaa kwa skendo na matendo yake mbele ya altale ya bwana yanatia shaka....ndo mana mleta mada kaomba kupatiwa CV yake.
 
Nashauri tuanze na cv ya Bashite
 
Pita Pita zangu nimeona self anointed archbishop of ufunuo na uzima ya kwamba amesoma omega global university PhD yake je elimu kabla ya hapo vip mbona haipo wazi.

Naomba msaada kwa wanaojua..
 
Pita Pita zangu nimeona self anointed archbishop of ufunuo na uzima ya kwamba amesoma omega global university PhD yake je elimu kabla ya hapo vip mbona haipo wazi.

Naomba msaada kwa wanaojua..
Nenda kanisan kwake kamuulizee . naona safari hii amewashika pabaya gwajima , Vp unataka kumtetea mwenye vyeti feki nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…