Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Ni

Nina maswali mengi kuhusu Gwajima ambayo hayana majibu.Ila kila mtu na imani yake ingawa wengine wanaabudu idols.
Imeandikwa katika Yoshua 1:8 '' Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.''

Tembea na Mungu wa kweli aliyeumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo,utasitawi sana ikiwa utaweza kutii sheria yake na kutimiza agano lake atakalofanya na wewe.Ukiyafanya hayo lazima utasitawi,muangalie Ibrahimu,Isaka,Yakobo,Petro,Yakobo,marehemu Benson Idahosa,Askofu David Oyedepo,Nabii Tb Yoshua,Mchungaji Benny Hinny,Pastor Chriss Oyakilome,Mchungaji Keneth Coopland n.k


Ukiona una wasiwasi sana ina maana bado hujafanya uchunguzi vizuri.

Ubarikiwe na Mungu akusaidie upate majibu ya wasi wasi wako.
 
Ukishaitwa mchungaji ni mtumishi wa Mungu.haijalishi ni kanisa gani so unakua na huduma ya kichungaji
 
Jamaa mjanja sana
 
Sio lazima akuonyeshe cheti chake kwakua hujamuajiri na wala hahitaji ajira yako
 
Vyeti vyeti vyeti mvua zinanyesha tufikirie tufanye nini mahindi yamekua adimu tulime Mungu anatupatia mvua tulime lakini watu wapo busy na smatphone na majungu..... ndio mana wenzetu wazungu wanatucheka.
 
Bashite wimbo wa Darasa unamfaa sana ngoja nitiririke kidogo..
Bashite umeota mapembe, wamekuongeza mkia,
Bashite Umebeep, wamekupigia,
Bashite make One thing clear jamani ( show as your vyeti)
Bashite brah brah, hawataki kusikia,
aaaaaaah...
true true Champion Muite Pastor Gwajima.
NB: "wahi kuomba msamaha kabla chungu hakija chemka.."in Pastor Gwajima`s voice
Utahenyaaaaaaa!!!!!!!!!
 
CV yake ni kubwa kiasi kwamba ameonelea kuwa Uraisi, Uwaziri na hata Ubunge kwake nikujishushia hadhi. Mwenye akili na ameelewa. Tumalizane na Ya Bashite kabla ya huyu bwana make na yeye alivyo itwa na Bashite alitii na kum- prove wrong. Sasa zamu yake! wahenga walisema kutesa kwa zamu.
 
Gwajima kichwa kile kimepiga shule,, kama sikosei juzi kati hapo ame maliza PHD yake..
 
Yaani wala usipate shida... We nenda tu kanisani kwake mtafute, hana nongwa yule atakupa historia tangu alipoingia duniani siku ya kwanza
 
Huyo anayeibiwa sadaka ndiye bwege
Mchungaji anaweza kuwa hata darasana la kwanza hajaenda imani haiihitaji taaluma imani huja kwa kusikia na baadae kuamini sasa hapo taaluma ya nini?
Uje na hoja za mashiko sio munakurupuka tu
 
gw
gwajima kajiajili sasa wewe Cv yake itakusaidia nini sababu hatumii kodi ya wananchi yule anatumia akili yake kupata mkate wake wa kila siku
 
CV ya Gwajima?? Ameajiriwa na nani? Au umesikia anatafuta kazi popote?? Kazi anayoifanya inatosha inajieleza kuwa sii wa mchezo
 
Unataka kusomea uchungaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…