Msaada: Nashindwa kutongoza mchana lakini usiku naweza

Msaada: Nashindwa kutongoza mchana lakini usiku naweza

Habari za hapa wana JamiiForums,

Mimi ni kiijana ambae nina tatizo la kutojiamini kutongoza wasichana hasa mida ya mchana lakini ikifika usiku naweza kutongoza vizuri tu japo bado nakuwa sijiamini sana (hela inatumika sana kunipa ujasiri).

Kwa kweli nimechoka kutongoza wasichana usiku maana wengi wao nakutana nao sehemu za starehe kama bar,clubs nk ambao wengi mapenzi yao huwa yanaangalia pesa zaidi kuliko true love.

Nisaidieni jinsi ya kupata confidence ya kutongoza msichana mida ya mchana sababu nakutana na wasichana wazuri kitabia na kimuonekano lakini nashindwa jinsi ya kuwa approach.

Nishachoka mapenzi na mabarmedi na makahaba wa usiku nataka msichana mmoja wa kutulia nae ambae nahisi naweza kumpata mida ya mchana.
playBoy gan ww hata kutongoza mwoga?
 
what if kama mimi ni muislamu??
Subiri mkesha wa mbio za mwenge. Ushauri wa mwisho, fanya mazoezi kwa kutongoza ma dada wa nyumbani mchana wakati mabosi wao hawapo nyumbani, wao wala haihitaji ufundi kuwapata.
 
Kijana,

Usianze kuongea na mwanamke na mentality ya kumtongoza. Ongea naye kama vile unachat na rafiki yako/class mate/ dada...in that way hata hutojua ni wakati gani ulimtongoza! Pili itakuondolea 'anxiety'.

Ukiwa bize kuanza na kutongoza utaumia sana...
Aongee naye kama dada?Sasa hapo si ndo atakuwa amekaribisha undugu hivyo kumtongoza itakuwa ngumu tena.
 
Back
Top Bottom