PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
- Thread starter
- #21
Ahahhhaa sawa dada nimekusoma.Hahaaaaaaaa siku nyingine tuletee uzi unawezaje kutafuta hela ili na sisi tuzipate
Ahahhhaa sawa dada nimekusoma.Hahaaaaaaaa siku nyingine tuletee uzi unawezaje kutafuta hela ili na sisi tuzipate
Are u seriously..!!!Ukitongoza mchana, fumba macho, itakuwa Giza, utapata kujiamini.
Dah! kwa bahati mbaya situmii pombe.Zimua kwanza zikishapanda kichwani we tembea barabarani am sure utatongoza mpaka wanaume maana dunia nzma utaona ni jinsia moja
What if kama mimi ni Muislamu?Nenda church kwenye mkesha.
Ahhahhaa hilo ni jina tu mkuuKweli wewe PlayBoyMwema
Usiku nakutana na watoto wa mbwa, nataka watoto wazuri wa geti kali.Sasa si utongoze usiku, tatizo liko wapi?
Nimependa ushauri wako wa kuanza no normal conversation.Kijana,
Usianze kuongea na mwanamke na mentality ya kumtongoza. Ongea naye kama vile unachat na rafiki yako/class mate/ dada in that way hata hutojua ni wakati gani ulimtongoza! Pili itakuondolea 'anxiety'.
Ukiwa bize kuanza na kutongoza utaumia sana...
Hahhahha pepo gani mkuu.Utakuwa una mapepo maombi yanahitajika kwako
So what should I do Miss Chagga?Tatizo unatumia formula kwenye kutongoza
exactly...!!!Deal kwa KE
Sawa mkuu nimekusoma....!!!Fanya mambo mengine ya maana dogo, ww bado ni mtoto thsy unaweka Uzi Kama huu, ukikua utakua ushajua kutongoza na uta enjoy zaidi ya hivi sasa.
duhhh.Dadil mwelekeo wa utongozaj nakuhakikshia utapata mke mwema mchana kweupe moja ya njia utayotumia ni hii!!! jitoe ufahamu paka majivu ukae jalalani nakuzoa taka za mji /jiji binti utaepishana nae tu anza kumsalimia nakufanya unaomba msaada akiwa na roho nzuri utamsoma tu endelea kufaNya ivo mpaka umpate utaeridhia. usipompata basi unagundu maadam uwe smart na hela zako hupati na hata uwe mchafu ombaomba nako hupat????? kitachofuat maombi tu.
Lengo langu ni kuwa more than friend not a normal friendship.anzisha urafiki
Hahahha ni watu wa kawaida kabisa mkuu...sio majiniUna uhakika hao uliowatongoza ni binadamu wanawake na si Majini.
Asante sana kwa ushauri wako.Nenda kanisani utapata wasio jali hela yako. Kapiish.
Wa gizani wengi wanakuwa viruka njiasasa si uendelee kutongoza gizan kwani kuna shida gani?au gizan huyo wa kutulia nae hapatikan??
Hahahahha umenifuraisha mkuu.Nmecheka cheko la moyo. Mkuu ukitaka kutongoza mchana mpeleke chumban zima taa zote assume ni usiku.