Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
- Thread starter
- #41
Napata picha kua hii itakua ni issue ya kurithi.Mpendeni mtoto , hata mm ni machalii ni wa kiume tu, na home kwetu maza alipata mtoto mmoja wa tu wa kike, wengine hawakuweza ku survive, the rest ni wa kiume tu. Mtihani huu
Maana uchunguzi wa haraka nilio fanya tangu jana unaonesha watu wengi walio zaliwa kwao jinsia flani ika zidi, basi na yeye huzaa hivyo hivyo.
Mfano wako na wakwangu una fanana.
Pia kuna jamaa yangu nae ameniambia kua kwao wamezaliwa watano, wakiume ni yeye tu.
Dada zake wawili walio mzidi wote wamezaa watoto wa kike tupu, na yeye mwenyewe anao watoto wa kike wa wiwili mi mwenyewe nawajua.
Mpaka sasa bado sijajua kitaalam (Maana hamna alie fafanua kitaalam mpaka sasa) tatizo hili lina sababishwa na nini, na ipi suruhu yake?.