Kulink BancABC Visa Cash Card na PAYPAL

Proud Patriot

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
224
10
Habari wadau, nimefanikiwa kununua visa card ya BancABC na kuiwekea balance pamoja na kufungua account ya paypal ready for online banking.

Baada ya hapo nikalink card yangu na paypal pamoja na kuweka code waliyotuma kwenye bank statement yangu.

TATIZO; Baada ya kulink succefully, balance yangu ni $0.00 siku ya nne leo, na hawajarefund $1.95 kama walivyoahidi NA PIA sioni sehemu ya ku ADD FUNDS to my paypal account.
Naona tu Overview,history,open cases. But sioni sehemu ya kuadd funds.

NAOMBENI MSAADA WENU.
 
Kiasi tajwa huwa kinaonekana katika account statemnt ya bank yako na si katika paypal, paypal itaendelea kusoma $0.00

Hakuna haja ya ku ADD FUNDS katika account uako ya paypal ili kufanya malipo, Bali account yako ya benki ndio unapaswa kuiwekea kiasi cha fedha unachotaka kutumia online, mfano unataka kununua kitu cha dola 10 nasi kwenye afcount yako weka kiasi sawa na hicho kwa TSH

Malipo ufanyayo online hukatwa moja kwa moja katika account yako ya benki, na paypal account ni njia ya kupitishia hayo malipo.

Karibu
 
Ahsante Mwalimu, sasa na tayari nilijaribu kulipia kitu cha 10 dollars KABLA hata sijaweka ile code kutoka kwenye bank statement. Na malipo yakaonesha COMPLETED.

Nilivyochukua statement kwa ajili ya code kukawa na ACCOUNT LOCKS;
1. DOLA 10 2. DOLA 1.95 3. DOLA 1 (niliambiwa ni fine ya kulipia vitu vya gharama zaidi ya pesa uliyonayo paypal.

Hizi account locks nikaambiwa ni yale malipo ambayo yamefanyika ila PESA bado haijakatwa kwangu. Na cha ajabu visa card yangu ilikuwa na pesa ile ile niliyoweka mwanzoni.

AHADI; Nitafata bank statement yangu na kuangalia kama hizo LOCKS zimekatwa BAADA ya mimi kuweka ile code ya kuverify code na pia ntaangalia kama ile $1.95 imerudi kwenye account.

Ahsante tena Mwalimu,
 
Ni sawa, wakati mwingine huchukua kati ya saa 48 hadi 72 ndio fedha hii "ACCOUNT LOCKED" / uliyolipia online kuchukuliwa toka kwenye account yako.

Japo kuwa notification huwa ni muda huo huo uliofanya malipo.

Ila fedha yako iko salama sababu umeipitishia PAYPAL, na pindi iwapo hujapata bidhaa au huduma uliyolipia utarudishiwa na hawa paypal kwq kufuata taratibu zilizowekwa.
 
Habari wadau, nimefanikiwa kununua visa card ya BancABC na kuiwekea balance pamoja na kufungua account ya paypal ready for online banking.

Baada ya hapo nikalink card yangu na paypal pamoja na kuweka code waliyotuma kwenye bank statement yangu.

TATIZO; Baada ya kulink succefully, balance yangu ni $0.00 siku ya nne leo, na hawajarefund $1.95 kama walivyoahidi NA PIA sioni sehemu ya ku ADD FUNDS to my paypal account.
Naona tu Overview,history,open cases. But sioni sehemu ya kuadd funds.

NAOMBENI MSAADA WENU.

cost Tao kufungua a/c BancABC plz?
 
cost Tao kufungua a/c BancABC plz?

Kununua visa card ambayo unapewa hapo hapo ni 5000 Tshs au 20$ imategemea unataka ya USD au TZS. Hii visa card haina account ndo maana unapewa hapo hapo.

Kufungua acc pia ni 5000 kama sio 10000 sina uhakika,, ila card baada ya wiki.
 
Je...ni...vitu...gani...napaswa....kuwa....navyo...pindi...niendapo...kufungua....a/c
 
Msaada tafadhali: kama nimeamua kununua visa card tu pasipo kua na a/c , naweza vipi kuweka salio ktk iyo visa card ili nifanye manunuzi online@njunwa and all
 
Ndio ni national ID pia...
Au passport ya kusafiria,voters card etc

Mkuu mim sijaelewa kitu kimoja Juzi nilienda benk CRDB nikafanyaregistration pale ya akaunti ya iwe inafanya online banking services sasa cha ajabu leo ni siku ya tatu sijapata ujumbe wowote na wao walisema wataniambia kwa njia ya SMS,,,na kingine ni hzo code zinawezo wekwa kwenye paypal zinatoka CRBD kwa njia gani au iyo bank statement unaipataje inakuja kwa njia ya SMS au email...????
 
Mkuu mim sijaelewa kitu kimoja Juzi nilienda benk CRDB nikafanyaregistration pale ya akaunti ya iwe inafanya online banking services sasa cha ajabu leo ni siku ya tatu sijapata ujumbe wowote na wao walisema wataniambia kwa njia ya SMS

Link acct ya Bank na paypal uone jibu.... mwenyewe nilibadilisha kadi wakadai watatuma message ikapita week bila hiyo message nilipochukua initiative ya ku link paypal ikakubali tu bila shida...
 
Hivy sio lazima wakutumie msg zao kwamba tayari tumekulink na Online banking?kingine hapo nataka kujua ni kuhusu manunuzi ya vitu kwa mfn kuna mtandao wa china unaitwa dhgate unavitu cheap japo sio original lakin naona uko vizuri kwa bei sijui kama umewahi kununua kitu huko.....
 
Hiyo wanatumia Escrow hakuna paypal huko...labda transaxn iwe nje ya web yao...

Mara nyngi CRDB hutuma sms ila 48hrs zikipita usikae tu eti unasubiri sms...link card na paypal kama huduma haijawezeshwa PayPal watakupa taarifa kwamba Card issuer hajakupa support....
 
Asante mkuu kwa maelezo yako nimekusoma sana ngoja nilink sasa hivi
 
Wakuu naomba msaada wenu hivi inawezekana kufanya online payments kwa kutumia credit card ya BancABC Visa Cash Card bila kuilink na paypal??!
 
Kununua visa card ambayo unapewa hapo hapo ni 5000 Tshs au 20$ imategemea unataka ya USD au TZS. Hii visa card haina account ndo maana unapewa hapo hapo.

Kufungua acc pia ni 5000 kama sio 10000 sina uhakika,, ila card baada ya wiki.
Aisee, on spot unapewa cad yako mkuu?
 
Back
Top Bottom