Hellow friends,
Naomba mwenye kujua possible angles hawa jamaa wa TRA wanazouliza kwenye interview ya Tax Manager Officer
maana mambo mengi sana yakusoma so sijajuwa wapi hasa hawa jamaa huwa wamelenga zaidi.
Tax management officer sio tax manager officer ( hakuna kitu kama hichi manager half apo apo officer )kazi ipo kweli kweli kwa written asome attribute,cannon,characteritics of tax, classfication of tax according to shiftability of incidence and tax burden.Tax manager officers? Ni tax management officer.
Ukipitia mzigo huu haukosi kitu hawa ndio wenye mtihan au wenye mtihan wamepitia hukuHellow friends,
Naomba mwenye kujua possible angles hawa jamaa wa TRA wanazouliza kwenye interview ya Tax Manager Officer
maana mambo mengi sana yakusoma so sijajuwa wapi hasa hawa jamaa huwa wamelenga zaidi.
Vipi mkuu upande wa customs officer?Tax management officer sio tax manager officer ( hakuna kitu kama hichi manager half apo apo officer )kazi ipo kweli kweli kwa written asome attribute,cannon,characteritics of tax, classfication of tax according to shiftability of incidence and tax burden
Soma sources of gvt revenue, types of assessment, soma income tax act, VAT act ,employment act kikubwa zaidi pitia mzgo wote wa NBAA wa public finance and taxation ukiwa huna ni pm nikitumie pdf file mwisho nakutakiaa mtihan mwema
Hiyo PDF ndani yake kuna customs pia soma na custom management act,, Covid-19, mkuu tutakutana pale Udsm tushinde paper😂😂😂😂vipi mkuu upande wa customs officer?
Asante mkuu nitapitia ,na kweli nahisi ishu za corona haziwezi kukosa kwenye paper ,,tarehe 7 patakua hapatoshi.Hiyo PDF ndani yake kuna customs pia soma na custom management act,, Covid-19, mkuu tutakutana pale Udsm tushinde paper
Poa poaasante mkuu ntapitia ,na kweli nahisi ishu za corona haziwezi kukosa kwenye paper ,,tarehe 7 patakua hapatoshi
BOFREE PDF inahitajika huku.Shukran sana best
Naomba
Unitumie hiyo Pdf nianze kuipitia
Bado haujui mapaka sasa kua corona imeathiri uchumi?Dah! kila nikigoogle naona hakuna correlation baina ya Coron na Tax officer
KINGSLEE tuma email PM utumiwe PDF.Atume email pm
Subiri kwanza usote ndiyo utajua umuhimu wa possible, Hivi kwa akili yako unazani mtu aliyemaliza 2014 mpaka leo anaweza akawa anakumbuka Taxation yote? Na hata akianza kusoma unazani anaweza akaimaliza ndani ya mda mchache?Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri