Kazi kweli kweli😂😂😂😂😂Duh! Elimu yetu hii kweli kiboko. Yani unataka uki-google uone kabisa mahali pameandikwa uhusiano kati ya Corona na Tax Offer? Hahahaaa...
Kazi kweli kweli😂😂😂😂😂Duh! Elimu yetu hii kweli kiboko. Yani unataka uki-google uone kabisa mahali pameandikwa uhusiano kati ya Corona na Tax Offer? Hahahaaa...
Mjomba usikalili toka ilo pepa lililopigwa kikanda lipite TRA wameishaita tena kama mara mbili na maswali yote wanauliza notes za Tax na customs za darasan mfano kwenye customs waliuliza bill of exchange, bill of landing , ili utoe mizigo bandarin zinaitajika document gani muhimu, wharf ni nn , Hao ITA baba lao ni NBAA mkuu mwisho current issue pia muhimu kupitia
[/QU
Hapo Sasa ndiyo patamu yani na siyo mambo ya hovyo hovyo tuu ya kitaa
Kati yangu mimi na wewe ni nani aliyekalili? Maana mimi nasema sio mara zote utumishi wanarely kwenye manotes ya darasani nikimaanisha raia wasikomae sana na notes tu pia wafatilie na mambo ya dvt programs mbalimbali znazoihusu nchi. Wewe unasema baada ya ile pepa huwa wanatoa mambo ya class tu. (uko ndo kukalili sasa)Mjomba usikalili toka ilo pepa lililopigwa kikanda lipite TRA wameishaita tena kama mara mbili na maswali yote wanauliza notes za Tax na customs za darasan mfano kwenye customs waliuliza bill of exchange, bill of landing , ili utoe mizigo bandarin zinaitajika document gani muhimu, wharf ni nn , Hao ITA baba lao ni NBAA mkuu mwisho current issue pia muhimu kupitia
Mmh! wewe hujitambuwi.Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
Mmh! wewe hujitambuwi.
Dah! haya Ma Act kitu cha VAT, INCOME, EACCM, FINANCE Nimezipitia mpaka kichwa kinauma hivyo nalala leo mapemaaa
Kesho kitaeleweka tu pale YOMBO 5 UDSM.
Wadau wenanzangu nawatakia mtihan mwema..
Nawe pia mtihani mwema, tutakutana kujipima, maana sio kwa umati huu! Duuuh Mungu tusaidie kwa kweliMmh! wewe hujitambuwi.
Dah! haya Ma Act kitu cha VAT, INCOME, EACCM, FINANCE Nimezipitia mpaka kichwa kinauma hivyo nalala leo mapemaaa
Kesho kitaeleweka tu pale YOMBO 5 UDSM.
Wadau wenanzangu nawatakia mtihan mwema..
Mmh! wewe hujitambuwi.
Dah! haya Ma Act kitu cha VAT, INCOME, EACCM, FINANCE Nimezipitia mpaka kichwa kinauma hivyo nalala leo mapemaaa
Kesho kitaeleweka tu pale YOMBO 5 UDSM.
Wadau wenanzangu nawatakia mtihan mwema..
inakuaje majina yanaongezwa siku moja kabla ya usaili,hao walioongezwa wanafaham na walijiandaa
kama walikua wanafahamu majina yao yatatoka ni nani aliwajulisha
namba zao za mitihani hatuna ila majina tumeshayadownloadnamba ya mtihani angalia kwenye account yako uliyoombea kazi utaikuta,mwalimu nyerere ni kigamboniHivi number za mtihani ni zipi maana sielewi elewi,
Halafu ukumbia wa Mwl nyerere uko sehemu gani?
kwanini mkuu tupe mrejesho maswali yalikuaje?Pepaaa kiboko!
Hii possible yako imetoka leo kwenye custom officer ll..Mjomba usikalili toka ilo pepa lililopigwa kikanda lipite TRA wameishaita tena kama mara mbili na maswali yote wanauliza notes za Tax na customs za darasan mfano kwenye customs waliuliza bill of exchange, bill of landing , ili utoe mizigo bandarin zinaitajika document gani muhimu, wharf ni nn , Hao ITA baba lao ni NBAA mkuu mwisho current issue pia muhimu kupitia
haswaaa .. maana unakuta mtu amesha kaa mdamrefu mtaani huku akiwa anapambana na maisha yake kwa njia tofauti na kusoma , ni lazima asahau mamboo mengi na hapo unakuta amesha gawa material yake yote ,,, so kwenye akili yake imejaa nyanya ,vitunguu, karoti, bamia. na mengineyo nkimaanisha watu wanajitahidi kujaribu biashara za kufanya so akili inakuwa imejaa biashara hatakama haimtoi kimaisha. so kama umepata neema ya kumaliza chuo alafu ukakutana na watu kama hao ,, ni vyema kuwasaidia kwani hata wewe utabarikiwa na mungu...U
Subiri kwanza usote ndiyo utajua umuhimu wa possible, Hivi kwa akili yako unazani mtu aliyemaliza 2014 mpaka leo anaweza akawa anakumbuka Taxation yote? Na hata akianza kusoma unazani anaweza akaimaliza ndani ya mda mchache?
Ndiyo maana mtu anaomba possible ili asije poteza mda mwingi kusoma vitu vingi
Multiple choicenomba kuuliza humu ndani. format ya maswali ya interview ya tra ipoje?