Msaada: Naomba muongozo wa Interview TRA

KINGSLEE

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
817
1,020
Hellow friends.

Naomba mwenye kujua possible angles hawa jamaa wa TRA wanazouliza kwenye interview ya Tax Manager Officer.

Maana mambo mengi sana yakusoma so sijajuwa wapi hasa hawa jamaa huwa wamelenga zaidi.
 
Tax manager officers? Ni tax management officer.
Tax management officer sio tax manager officer ( hakuna kitu kama hichi manager half apo apo officer )kazi ipo kweli kweli kwa written asome attribute,cannon,characteritics of tax, classfication of tax according to shiftability of incidence and tax burden.

Soma sources of gvt revenue, types of assessment, soma income tax act, VAT act ,employment act kikubwa zaidi pitia mzgo wote wa NBAA wa public finance and taxation ukiwa huna ni pm nikitumie pdf file mwisho nakutakiaa mtihan mwema
 
Hellow friends,

Naomba mwenye kujua possible angles hawa jamaa wa TRA wanazouliza kwenye interview ya Tax Manager Officer
maana mambo mengi sana yakusoma so sijajuwa wapi hasa hawa jamaa huwa wamelenga zaidi.
Ukipitia mzigo huu haukosi kitu hawa ndio wenye mtihan au wenye mtihan wamepitia huku
Screenshot_20200701-075719.jpg
 
Tax management officer sio tax manager officer ( hakuna kitu kama hichi manager half apo apo officer )kazi ipo kweli kweli kwa written asome attribute,cannon,characteritics of tax, classfication of tax according to shiftability of incidence and tax burden
Soma sources of gvt revenue, types of assessment, soma income tax act, VAT act ,employment act kikubwa zaidi pitia mzgo wote wa NBAA wa public finance and taxation ukiwa huna ni pm nikitumie pdf file mwisho nakutakiaa mtihan mwema
Vipi mkuu upande wa customs officer?
 
Ila utumishi jamani interview zao unaeza kuona nyota nyota kwenye chumba cha mtihani.
 
Hiyo PDF ndani yake kuna customs pia soma na custom management act,, Covid-19, mkuu tutakutana pale Udsm tushinde paper
Asante mkuu nitapitia ,na kweli nahisi ishu za corona haziwezi kukosa kwenye paper ,,tarehe 7 patakua hapatoshi.
 
NAKAZIA.....NI MUNGU KWANZA
Asante best km kuna mdau mwengine mwenye mchango wa Areas of concentration/possible atusaidie maana hali ni tete.
Akisaidia hapa ameasaidia wengi na siyo mbo ya inbox
 
Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
 
U
Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
Subiri kwanza usote ndiyo utajua umuhimu wa possible, Hivi kwa akili yako unazani mtu aliyemaliza 2014 mpaka leo anaweza akawa anakumbuka Taxation yote? Na hata akianza kusoma unazani anaweza akaimaliza ndani ya mda mchache?

Ndiyo maana mtu anaomba possible ili asije poteza mda mwingi kusoma vitu vingi
 
Back
Top Bottom