Msaada: Nani ananunua madini Dar es Salaam?

Msaada: Nani ananunua madini Dar es Salaam?

Kama ni mnunuzi Genuine nashukuru mrangi,tabu ya biashara hii ina wapigaji wengi ajabu!ndugu yangu aliniletea wateja toka china,sasa kwa kuwa si mzoefu ilibidi niulize wenyeji kwenye biashara hii....lahaula wakataka kuwatapeli wachina wangu tukawatoa mbio na mikwaju.....inahitaji umakini sana kwa kweli!
nakukubali chief...sana sana tanzania kwenye gold tusha chafuka sana nje tunaonekana wote wapigaji na serikali imewakingiaa kifua wapigaji mpaka sasa
 
Last edited by a moderator:
OK mliyatoa wapi??

kilosa kuna sehemu moja panaitwa unone juu huko porini.... na kuna sehemu moja huko huko kama ukiwa ilonga ukiangaliaaa juu kuliaa kuna milima kule kuna sehemu panaitwa lumbiji nilikuwa nachimbisha
 
Attachments

  • 20140807_190347.jpg
    20140807_190347.jpg
    782.6 KB · Views: 210
. misasa hiyo saphire nut ikienda jaipur inabadilishwa huwezi amini ukipewa cheni yake au hiyo jiwe ikiwa kwenye pete utashangaaaa
 
Last edited by a moderator:
kilosa kuna sehemu moja panaitwa unone juu huko porini.... na kuna sehemu moja huko huko kama ukiwa ilonga ukiangaliaaa juu kuliaa kuna milima kule kuna sehemu panaitwa lumbiji nilikuwa nachimbisha

uko unanunua kwa scale au?? na wewe ulinunua tshs ngapi na ukapata tshs??
 
uko unanunua kwa scale au?? na wewe ulinunua tshs ngapi na ukapata tshs??

nilikuwa nachimbisha mwenyewe nilikuwa na wachimbaji wangu....kuna mawe ta sensa na ya mwamba....hapo ni kuchimba kuna wakati unalipua na baruti,mtaji hapi ni ugali maharage na dagaa na kila mchimbaji unamlipa kwa kg anayoitoaa yeye kwenye mzigo
 
Msaada kwa anayejua soko la quartz,opal kwa dar na sehemu nyingine yeyote na bei ziko vipi labda?
 
Msaada kwa anayejua soko la quartz,opal kwa dar na sehemu nyingine yeyote na bei ziko vipi labda?

buyers wakubwa wa quartz ni wachina ila kwa hao wanunuzi hawana uhakika sana? yupo mmoja anaitwa shivo nafikiri atakuwepo, quartz yako ni ya crystal au blocks,na kuhusu opal hiyo ni opal ya wapi kigoma au hizi za kawaida...za morogoro
 
tembelea www.karatbars.com kujisajili bure na chagua affiliate halafu tumia user name ya bikogwa na ID 12485228
 
dah,nimepata mwanga,anko wangu alikuwa digala uko mvomero ilimtoa kiasi fulani hii biashara,kwa sasa ni marehemu na hakuna aliyeweza kuendeleza hii biashara.,but vifaa kama scale hadi leo ipo
 
buyers wakubwa wa quartz ni wachina ila kwa hao wanunuzi hawana uhakika sana? yupo mmoja anaitwa shivo nafikiri atakuwepo, quartz yako ni ya crystal au blocks,na kuhusu opal hiyo ni opal ya wapi kigoma au hizi za kawaida...za morogoro

Mkuu hii mambo mimi siisomi vema ila hizo quartz zinakuwa zimechongoka kwa mbele na nyuma hizo opal sio za kigoma wala morogoro ni sehemu nyingine hapa tanzania
 
Anayejua soko la quartz na opal kwa dar au sehemu yeyote msaada tafadhari
 
Anayejua soko la quartz na opal kwa dar au sehemu yeyote msaada tafadhari

soko la quartz linatokeaga mara chache chache kikubwa ni kuwa na mzigo kabisa, ngoja uone hii sample ya opal nayo ni ya moro...iangalie
 
Attachments

  • 20140813_133152.jpg
    20140813_133152.jpg
    507.1 KB · Views: 167
nenda kwa malapa uliziaa ofisi yake iko wapi....umfate kama mawe yako ni mazuri mtafanya kazi au nenda nyuma ya bestbite kinondoni kuna mthailand mmoja anaitwa prayun kwake kuna wanunuzi wengi tu wanafikia kutoka thailand wananunua madini....kazi kwako
We ni muelewa sana wa hii biashara ya madini. Kuna eneo moja lipo huko Lindi linanihusu na lina gemstone mbalimbali ambazo sizifahamu vema. Ni mtaji kiasi gani unahitajika kuchimba? Au kuna watu ambao ninaweza kuingia nao mkataba wachimbe na kugawana kwa maelewano maalum na wanapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom