misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,498
- 13,899
utanunua kwa calculeta toka kwa wachmbaji na utauza kwa calculeta mfano jiwe la thamani ya m kumi ww mwandikie 20milion,buyer atashtuka atajua ww ni mjuaji atakuandikia mil5 we goma mwandikie 19,atakachokifanya atakuambia top top ofa mil7 atakuandia jiwe na calculeta atakupa kana kwmb ukigoma hyo ofa hakuna biashara,ww usihofu we chukua jiwe,ukitoka mlangoni atakuita atakupa ofa nyngne.nb uwe unajua thamani yake.
hahahaha!! nimekusoma chief ila wanasema kama ukienda sehemu tofauti kama bei haieleweki ukirudi kwa mwanzo wanagoma, je kuna ukweli wowote kuhusu ilo??