Msaada: Nani ananunua madini Dar es Salaam?

Msaada tafadhar,nani ananunua almandine\almandite dar es salaam, taja ubora na bei, na vip kuhusu rough inakwenda?
 
We mleta mada biashara ya Madini kukutana na broker ni hali ya kawaida.broker naye ana umuhimu wake, unaweza ukajiona una madini mazuri kumbe kanjanja au unaweza ukawa na madini mazuri usijue bei inayostahili kuyauza
 
Msaada tafadhar,nani ananunua almandine\almandite dar es salaam, taja ubora na bei, na vip kuhusu rough inakwenda?
Ziwe kuanzia grm 3 na kuendelea, ziwe zina ona tu, kuhusu inclusion ndani siyo tatizo
Bei kg ni 20000/ mpaka 40000/ kwa arusha
Dar miyeyeyusho kidogo
 
Kuna mhindi pia anaweza chukua hapa dar, biashara ya Mawe ni kumwonesha mtu mezani,
Muonyeshe sample kwanza alafu mambo mengine badaye
 
Ziwe kuanzia grm 3 na kuendelea, ziwe zina ona tu, kuhusu inclusion ndani siyo tatizo
Bei kg ni 20000/ mpaka 40000/ kwa arusha
Dar miyeyeyusho kidogo

hiyo umetaja bei ya rough au capsion high? naomba kujua tafadhar na arusha soko ni maeneo gan na nani mnunuzi?
 
Back
Top Bottom