Rose Ganet.
rose ganet.
ubora wake vp? Kuna mzungu mmoja anaitwa malapa alikuwaga block41 kino ila kahama hapo...kwa sasa sijui kahamiaa wapi hayo ndyo style yake ila hakikisha rangi yange inakuwa ya table colour au ukiweka kiganjani rangi unaionaaa...isiwe na cracks wala inclusions size kuanzia grm 2 kwenda juu....mtafute malapa uliza kama yuko mjini kafanya biashara
nenda kwa malapa uliziaa ofisi yake iko wapi....umfate kama mawe yako ni mazuri mtafanya kazi au nenda nyuma ya bestbite kinondoni kuna mthailand mmoja anaitwa prayun kwake kuna wanunuzi wengi tu wanafikia kutoka thailand wananunua madini....kazi kwako
samahani ni red ganet au rose ganet?na ni ya tanga?
wathailand wengi huwa wanachukua saphire au ruby,aina nyngne ya gemstone huwa hawachukui.nilawahi kuwapelekea rose ganet na saphire wakachukua saphire,rose waligoma kuchukua.ikabidi nipeleke kw wahndi arusha.
Rose Ganet.