GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 6,269
- 9,237
sasa chief kuuza zaidi ya 10mln kwa gram au? ninavyosikia wao ndio wanapanga bei au ili uweze kutambua bei ya kuuza unatakiwa ufanyaje??
INATEGEMEA NA GEM.BIASHARA YA GEM UNATAKIWA UWE UNAJUA THAMANI YA GEM ENYEWE.MFANO UNAENDA KUUZA RUBY 5g unapewa calculeta na buyer uandike bei yake,kwakuwa ww n mgeni nahujui utaandika milion kumi,hapo buyer atakuona hujui atakushusha atakuandikia 2milion ww utagoma utaandika 9milion.biashara ya inataka uzoefu na utaalam bila hvyo utaumia tu.ila kwa msaada ni bora kuanza na cheap stone,inalipa na yanapatikana kirahisi