Na wanunuzi wa sunstone je wapo?
tourmaline je??
ubora wake vp? kuna mzungu mmoja anaitwa malapa alikuwaga block41 kino ila kahama hapo...kwa sasa sijui kahamiaa wapi hayo ndyo style yake....mtafute malapa uliza kama yuko mjini kafanya biashara
Mzungu anaitwa "Malapa"...its no wonder biashara hii Dar imejaa wapigaji...na wapigwaji...
sunstone.....wanunuzi wake hawaeleweki, una mzigo kwani.....
siyo ganet ni garnet. Naamini unamaanisha rhodolite. Kama ni ya sesa au ya mwamba na ni spirit colour au pink gram moja na zaidi ni-pm.
hiyo safi kwenye market inakwenda kuna mdosi anachukua sana yellow, green tormaline na bado anakusanya mzigo ...ana nunua kuanzia tormaline gem quality hadi tormaline za kg type chief
kaka unaonekana wewe ni mtaalam wa biashara ya madini, je ukitaka kuingia kwenye germs kuanzia na msingi wa tshs ngapi?? coz wiki mbili zilizopita nilikuwa samhunge (loliondo) kununua dhahabu sikupata nikaenda hadi kilindi ovyo pia
wakuu nina mizigo mitatu,ruby,diamond na gold nataka kuuza hapa bongo wapi kuna mnunuzi mwenye hela?biashara nitafanya baada ya wk mbili kuanzia leo
aise acha kutania watu.
mzungu anaitwa "malapa"...its no wonder biashara hii dar imejaa wapigaji...na wapigwaji...
mzungu anaitwa "malapa"...its no wonder biashara hii dar imejaa wapigaji...na wapigwaji...
aise huyu jamaa wa cku nyng sna
kaka unaonekana wewe ni mtaalam wa biashara ya madini, je ukitaka kuingia kwenye germs kuanzia na msingi wa tshs ngapi?? Coz wiki mbili zilizopita nilikuwa samhunge (loliondo) kununua dhahabu sikupata nikaenda hadi kilindi ovyo pia
siri kubwa ya gemstones ni kujua kununua na kuuza, kwenye kununua lazima ujue kuchagua jiwe kuliangalia na kujua uboroa wake ndani na rangi zikoje..hapo lazima ufaulu, kuhusu msingi unaweza ukawa na mln 2 au 3 ukanunua mawe kadhaa ukaenda kuuza ukakuta unauza hela nzuri zaidi ya 10mln.kwa hiyo mtaji uwe na 2mln au 3 siyo mbaya..unatega kwa wachimbaji wanaweza letea jiwe kwako likawa safi