Msaada: Namna ya kupata product keys kwa ajili ya ku-activate Kaspersky Antivirus

Removers

Member
Nov 1, 2018
66
125
Wakuu habariniii.

Kwanza kabisa natoa shukrani kwa members wote wa jamii forum ,tangu nijiunge humu hakikaa sijajutia nmefahamu vingii sanaaa ..๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Mada inajieleze hapo juu ,,nawezaje kupata cracked product keys za kuactivate Kaspersky antivirus

Maana ni muda natumia aina nyngne ya antivirus "avast" lakini naona kama haina msaada kivile.

Nmeamua kuitumia baada ya Kaspersky antivirus niliyoinunua kuisha muda wake ,na ukiangalia hali ya uchumi haiko sawa kwa upande wangu..

Kwa anaefahamu namna ya kupata cracked product keys kwa Kaspersky antivirus atoe msaada..ili niweze kuendeleaa kuitumiaa.

Asanteni sanaaa
 
Hackboy

Senior Member
May 25, 2013
135
250
Wakuu habariniii.

Kwanza kabisa natoa shukrani kwa members wote wa jamii forum ,tangu nijiunge humu hakikaa sijajutia nmefahamu vingii sanaaa ..

Mada inajieleze hapo juu ,,nawezaje kupata cracked product keys za kuactivate Kaspersky antivirus

Maana ni muda natumia aina nyngne ya antivirus "avast" lakini naona kama haina msaada kivile.

Nmeamua kuitumia baada ya Kaspersky antivirus niliyoinunua kuisha muda wake ,na ukiangalia hali ya uchumi haiko sawa kwa upande wangu..

Kwa anaefahamu namna ya kupata cracked product keys kwa Kaspersky antivirus atoe msaada..ili niweze kuendeleaa kuitumiaa.

Asanteni sanaaa
Na mwaka wa 5 sijawahi tumia anti virus na pc iko active natumia internet kila siku. Tangu nijue kutengeneza virus, na hakuna anti virus yenye uwezo waku detect virus wangu, sijawahi kuona umuhimu wa Anti-virus. Windows Defender inatosha kuzugia
 
Removers

Member
Nov 1, 2018
66
125
Na mwaka wa 5 sijawahi tumia anti virus na pc iko active natumia internet kila siku. Tangu nijue kutengeneza virus, na hakuna anti virus yenye uwezo waku detect virus wangu, sijawahi kuona umuhimu wa Anti-virus. Windows Defender inatosha kuzugia
Hao virus uliotengeneza wakaa kweny pc yakoo ???
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom