MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,735
- 1,086
Hahaha...!Umetupiwa mdudu! usitengemee jipya hata ukipiga zoezi, ndugu zako hao wanakuandama au marafiki zako hawataki uendelee
Hahaha...!Umetupiwa mdudu! usitengemee jipya hata ukipiga zoezi, ndugu zako hao wanakuandama au marafiki zako hawataki uendelee
Hivi vit vya machemical ni hatar kwa afya ya mtuUkiwa unaanza kusoma kunywa energy drink
Jaribu kutengeneza Partners wa Discussion, Fanya mazoezi ya Mwili, jiwekee lengo la kujua vitu kadhaa (topic/unit japo 1) kwa siku 1 kiundani.Wazee nimeona niseme jambo hili huenda nikapata utatuzi kutokana na ushauri wenu.
Kwa sada ni mwanafunzi wa chuo fulani hivi.
Mara kadhaa nilipokua high school nilikua nasumbuliwa na tatizo la kulala pindi mwalimu akitoa lecture ajabu ya mambo mwl alitoka usingizi unaenda zake.
Alhamdulilah haikunidhuru mpaka kufikia kushindwa kusoma kabsa.
Ila huku chuo mambo ni mengi sana licha ya ile hali ya kulala darasani kuendelea sasa hivi imekua hata nikishika daftari kuanza kupiga msuli usinginizi nao huo.
Najaribu kuanza kulala ili nikiamka niwe na nguvu kubwa ya kusoma lakini wapi! Ama kweli usingizi kiboko.
Nipe ushauri ewe msomi
Hii ndio dawa pekee asiuchoshe mwili na mazoezi.Ukipigwa supp mbili tatu hutauona tena.
Uliwahi kuiapply nin?Hii ndio dawa pekee asiuchoshe mwili na mazoezi.
Mazoezi ya nini kwani kenda gym huko.mwache alale labda bado anakua.Hii ndio dawa pekee asiuchoshe mwili na mazoezi.
Mkuu hili si swali la Abunuasi jamani!unakata tawi la mti ulilokalia mtu akikuambia utaanguka unamuuliza ulijuaje aisee niambie na siku nitakayokufa.Uliwahi kuiapply nin?
Gonga Azam enegy au Mo energy.. Ucingizi utakuwa ni historia.Wazee nimeona niseme jambo hili huenda nikapata utatuzi kutokana na ushauri wenu.
Kwa sada ni mwanafunzi wa chuo fulani hivi.
Mara kadhaa nilipokua high school nilikua nasumbuliwa na tatizo la kulala pindi mwalimu akitoa lecture ajabu ya mambo mwl alitoka usingizi unaenda zake.
Alhamdulilah haikunidhuru mpaka kufikia kushindwa kusoma kabsa.
Ila huku chuo mambo ni mengi sana licha ya ile hali ya kulala darasani kuendelea sasa hivi imekua hata nikishika daftari kuanza kupiga msuli usinginizi nao huo.
Najaribu kuanza kulala ili nikiamka niwe na nguvu kubwa ya kusoma lakini wapi! Ama kweli usingizi kiboko.
Nipe ushauri ewe msomi
Lecturer alinikamata mara 1 ndo naingia chuo, mbona akili ilikuja mpaka nahitimu sijakamatwa na usingizi ukapotea jumla japo nimeanza kuuaply baada ya kuhitimu.Uliwahi kuiapply nin?
Kahawa nakumbuka biliwahi kuiapply kipind nipo cha nne.we kunywa kahawa tuu,mi mwenzio ilikua zaidi yako nilijinywea kahawa we? mbona nlishangaa nlikua macho nikuelewa na kukariri mpaka nyuma ya vitabu
tahadhari ukinywa kahawa usingizi hujikusanya,tenga muda maalum wa kulalaKahawa nakumbuka biliwahi kuiapply kipind nipo cha nne.
Actly ilikua bonge la dili yani coz msuli ulikua unaenda fresh na mcho yakiwa yamekodoka.
Advnc nilisoma bodying Mpwapwa sec Dodoma sikua na acces ya kahawa kutokana na eneo lenyewe. Tofauti na mitaa ya Dar es salaam unajua wauza kahawa walipo na hata ukisimama barabarani basi dakik si nying atapita na utapiga vikombe vyako viwil vitatu.
Leo hii chuo ndo sipo bongo kabisa yani.
Nipo Turkey option ya kahawa inashindikana.
Jamaa wanazo kahawa lakin hazifajya kaz naniyotarajia