saede mbondela
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 368
- 237
Wazee nimeona niseme jambo hili huenda nikapata utatuzi kutokana na ushauri wenu.
Kwa sada ni mwanafunzi wa chuo fulani hivi.
Mara kadhaa nilipokua high school nilikua nasumbuliwa na tatizo la kulala pindi mwalimu akitoa lecture ajabu ya mambo mwl alitoka usingizi unaenda zake.
Alhamdulilah haikunidhuru mpaka kufikia kushindwa kusoma kabsa.
Ila huku chuo mambo ni mengi sana licha ya ile hali ya kulala darasani kuendelea sasa hivi imekua hata nikishika daftari kuanza kupiga msuli usinginizi nao huo.
Najaribu kuanza kulala ili nikiamka niwe na nguvu kubwa ya kusoma lakini wapi! Ama kweli usingizi kiboko.
Nipe ushauri ewe msomi