ok thanksKwanza pole sana. Pili kama hiyo picha hapo kwenye avatar inaendana na wewe (ya kwako) au umevutiwa na pozi la huyo kijana basi naomba uanze kubadilika hapahapa! Ujasiri hujengewi, ujasiri unajijengea mwenyewe. Anza kwanza kutoa hiyo picha weka picha zenye staha ya kiume. Kama unapenda pozi hizo jenga kwanza ujasiri wa kuachana nazo.
Lingine nimeona kuwa wewe hasa unatamani ushoga. Hiyo inatokana na hisia nyingi ulizojijengea juu ya jambo hilo. Najua hutaweza kusema ila pengine unaangalia video za aina hiyo. Acha hilo pia.... Baada ya hapo sali na jiamini...... Maumivu yakiendelea baada ya hapo basi muone daktari kwa kuwa utakuwa umeathiriwa na mfumo ila kwa sasa mimi naona umetekwa zaidi na hisia. Usiziendekeze, anza na hiyo avatar sasa!
Kwahy Mkuu unataka Sawa za kuongeza homon za kiume,je Kati ya homon za kiume na zakikee zipi zinakutesa?Yani kama nizakike unataman kutiwa?au kutia?hivi naweza kupata dawa za kuongeza hormone za kiume mkuu???nipo arusha
Mpaka sasa umeshagongwa mara ngapi ili tujue umeathirika kwa kiwqngo ganWanapatikana wapi coz hili tatizo linanitesa mno
Anagongwa huyo anaongea tu kinyume nyume wqtqmbuzi tumeshang'amuaulishawai kusex nao wote?
Prayer can change a mountain Brother,Muombe Mungu akusaidie na usikubali kulala na mwanume mwenzako.NASHUKURUNI SANA NYOTE MLIONISHAURI
MUNGU AWABARIKI SANA
KUNA WATU WANASHINDWA KUTOFAUTISHA KATI YA BISEXUAL NA GAY
YOU CAN BE GENTLEMEN BT UKAWA UNA FAVOUR BOTH SEX
USHAURI WENU UMENIJENGA KIAKILI NA KIMAADILI NA NITAUFANYIA KAZI
Aisee ikatae hiyo roho ya kutamani wanaume wenzio nenda kanisani ukaombewe